Mzee wa Msoga alikuwapo kumnadi Odinga kama nani?

Mzee wa Msoga alikuwapo kumnadi Odinga kama nani?

Unafahamu na kumfahamu vyema Daktari Jakaya Mrisho Kikwete? Unafahamu kiwango cha ushawishi wake Barani Afrika na Duniani Kwote kwa ujumla? Unafahamu kuwa ni ushawishi wake dkt Kikwete uliyomfanya mpaka Dr Asha Rose Migiro akachaguliwa kuwa Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?
 
As the puppet master

1724779522648.png
 
Hii picha ni picha nzito sana yenye kuonyesha solidarity!, Africa as one, power endurance!
Wakae wa design " EAST AFRIKA UNION ARMY" EAUA, tuwe na kitu kama NATO yetu.
 
Wanafanya diplomasia ya nipe kura kwa Odinga ili nikupe kukuunga mkono kwa kura kwa ajili ya mheshimiwa mbunge Dr. Faustine Ndugulile aungwe mkono ktk kupata kazi taasisi ya kimataifa WHO .....

Pia Jakaya Kikwete alionekana kule Harare mkutano wa juzi wa wakuu wa nchi kusini mwa Afrika mahsusi Dr. Faustine akipigiwa chapuo kwa kanda ya SADC iunge mkono kwa kura mtanzania,.

From archived news online :

pan african visions
https://panafricanvisions.com › ...
Tanzanian Candidate Dr. Faustine Ndugulile Endorsed for WHO ...

12 May 2024 — Tanzanian Candidate Dr. Faustine Ndugulile Endorsed for WHO Regional Director for Africa. May 12, 2024.....
 
Unafahamu na kumfahamu vyema Daktari Jakaya Mrisho Kikwete? Unafahamu kiwango cha ushawishi wake Barani Afrika na Duniani Kwote kwa ujumla? Unafahamu kuwa ni ushawishi wake dkt Kikwete uliyomfanya mpaka Dr Asha Rose Migiro akachaguliwa kuwa Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?

Kwamva Ban ki Moon alishawishiwa asema Lukasi? Wacha wee!
 
Back
Top Bottom