Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141

Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji).

Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
 
Mtu akisema ukweli mnamwita mchekeshaji.
Kila fanani ana njia yake ya kufikisha ujumbe kwa hadhira bhana.

Mara mia mgogo anakupa uhalisia !
Ila utapeli wa maji na mafuta na kumsukuma mtu kwa lazima ili aanguke hapana.
 
Kama anasema hajawahi kufika mbinguni na asiulizwe habari za huko zikoje wakati tumefundishwa habari za huko na tunazijua huku hatujawahi kufika. Sasa iweje aseme hajui na anachofundisha ni reality tu?

Tusubiri majibu toka kwake baada ya kutupiwa dongo kuwa ni comedian.
 
View attachment 2956280
Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji).

Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
Mimi binafsi namuona Mzee wa Upako kama mlevi wa Konyagi tu. Ni mlevi mwenye kipaji kikubwa alichojaaliwa na Mungu.
 
Back
Top Bottom