Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Uchungaji ni nini na kwa definition ya nani ? Tuanzie hapo Kwanza.....; Technically naweza kusema duniani hakuna mchungaji wa Binadamu mwingine na kama wapo basi kwa muktadha huo yoyote mwenye following ni mchungaji wa hao wanaomfuata / msikiliza...,

To each their Own.....
 
Ingawa mzee wa upako ni mshenzi ila huyu mgogo naye huwa anavuka mipaka kwa kuropoka. Kuna clip yake alidai kuwa elimu kwa mtoto wa kike sio lazima. Toka hiyo siku nilimwona Mgogo naye ni mpuuzi. Kimsingi hawa wachungaji wote ni matapeli wanaotumia biblia.
 
Mzee wa upako anajiona kusawazisha mambo pale wenzake wanapoboronga. Huyu mgogo naye kazidi kuchekesha wasikilizaji wake
 
Hao wote ni wajasiriamali, Mgogogo anacheza na akili za Watu yeye ameona akomae na angle yake ila malengo yao ni mamoja.
 
Mgogo kaeleza ukweli, wao wakihitaji mali wanaomba michango na kufanya harambee ila waumimi wakihitaji wanaombewa.
Mgogo anacheza na akili za watu kama wewe hapo, Nchi imejaaa wajinga tupu. Yeye ameona achugue ila sehemu raia wengi wanapenda, ila mwisho wa siku malengo yao yanafanana wote ni wajasiriamali, wanacheza na akili za wajinga.
 
Ni baada ya mgogo kuponda maombi ya kupokea magari, nyumba nk.

Mimi binafsi namuona Mzee wa Upako kama mlevi wa konyagi na kvant na sio mchungaji.
Hana akili yuke mzee.
Kikapu cha sadaka ni mikono yake
 
Back
Top Bottom