Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Huyo mlevi akae kwa kutulia tuu hana jipya
 
Mojawapo ya kipimo cha imani ya mtu ni pamoja na kukopa na kulipa deni kwa wakati au kabla ya wakati.
Sasa yeye anatetea wezi kwa njia ya ulaghai, majangili wanaokopa bila kulipa.

Huwa anachemka vibaya sana kwenye mafundisho yake.
Kifupi ni Kwamba huwa anabahatisha tu lakini sio halisi.
Kuna wakati alisema elimu kwa mtoto wa kike sio lazima
 
KWANGU MCH HANANJA NA MCH MGOGO NAONA NDIO HASA WACHUNGAJI.
MGOGO TANGU MWANZO ANAPINGA SANA UTAPELI WA MANABII NA MITUME FEKI.
MATAPELI HAWA HAWAWEZI KUMPENDA
 
Hananja
 
Yupo sahihi
Mgogo ni comedian
Tony kapola sio mchungaji ni motivation speaker
Hawa wawili wote wanafanya kazi halali ila mwaposya ni tapeli
Na yeye mwenyewe mzee wa upako ni nani??
 

Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji).

Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
Bora mgogo yeye si mlevi tu kama walevi wengine
 
Mtu akisema ukweli mnamwita mchekeshaji.
Kila fanani ana njia yake ya kufikisha ujumbe kwa hadhira bhana.

Mara mia mgogo anakupa uhalisia !
Ila utapeli wa maji na mafuta na kumsukuma mtu kwa lazima ili aanguke hapana.
🙏
 
Back
Top Bottom