BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Jamaa kuna vitu vingi analopokaga, wakati wa Magufuri aliwahi kumponda Lisu tangu siku hio sitakagi kumsikia, kuna mambo anaelezeaga unaona kabidmsa yana mzidi uwezo ila ndio anakomaa kueleza. Sasa wajinga huwa hawachambui. Hata yale maelezo yake ya kikokotoo unaona kabisa hakuna anacho jua.Ingawa mzee wa upako ni mshenzi ila huyu mgogo naye huwa anavuka mipaka kwa kuropoka. Kuna clip yake alidai kuwa elimu kwa mtoto wa kike sio lazima. Toka hiyo siku nilimwona Mgogo naye ni mpuuzi. Kimsingi hawa wachungaji wote ni matapeli wanaotumia biblia.
Ancho mfanya mgogo ni kutafuta sana huruma, amewekeza sana hapo, na anacheza na akili za watu kutengeneza emotional.