Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Ni baada ya mgogo kuponda maombi ya kupokea magari, nyumba nk.

Mimi binafsi namuona Mzee wa Upako kama mlevi wa konyagi na kvant na sio mchungaji.
na ni mlevi kweli yule hujakosea.......tena sugu...
 
Huyu tapeli mlevi ndio wa kumsema mgogo huyu!!!!

Mgogo na hananja ndio wahubiri,hawana maneno ya faraja kabisa.
 
Ingawa mzee wa upako ni mshenzi ila huyu mgogo naye huwa anavuka mipaka kwa kuropoka. Kuna clip yake alidai kuwa elimu kwa mtoto wa kike sio lazima. Toka hiyo siku nilimwona Mgogo naye ni mpuuzi. Kimsingi hawa wachungaji wote ni matapeli wanaotumia biblia.
Tatizo mnataka faraja.ukweli hamuutaki.

Elimu kwa mtoto wa kike haina maana kabisa.
 
Ni kweli.
Maana anaongeaga mambo kiasi cha kushangaza.
Mfano kutetea waliokopa Hela za watu bila kulipa kwa wakati kwa kadiri walivyokubaliana hivi hiyo ni akili?
Badala ya kusisitiza uadilifu na uaminifu yeye anafurahia utapeli , wizi wa kuaminiwa?!
Hayo ni mambo ya kiimani hajasema usilipwe kama ulikopesha mtu.
 
Mzee wa upako anamuona mwenzeke ni kituko wakati naye ni walewale watumishi wa mungu wenye utata katika mafundisho yao, ama kweli wahenga walinene nyani haoni 'tigo' lake
Siku anahojiwa na Salama Jabir ndio niliujua usanii wake.
 
Back
Top Bottom