Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

Huyo mlevi akae kwa kutulia tuu hana jipya
 
Kuna wakati alisema elimu kwa mtoto wa kike sio lazima
 
KWANGU MCH HANANJA NA MCH MGOGO NAONA NDIO HASA WACHUNGAJI.
MGOGO TANGU MWANZO ANAPINGA SANA UTAPELI WA MANABII NA MITUME FEKI.
MATAPELI HAWA HAWAWEZI KUMPENDA
 
Hananja
Your browser is not able to display this video.
 
Yupo sahihi
Mgogo ni comedian
Tony kapola sio mchungaji ni motivation speaker
Hawa wawili wote wanafanya kazi halali ila mwaposya ni tapeli
Na yeye mwenyewe mzee wa upako ni nani??
 
Bora mgogo yeye si mlevi tu kama walevi wengine
 
🀣 🀣 🀣
 
Mtu akisema ukweli mnamwita mchekeshaji.
Kila fanani ana njia yake ya kufikisha ujumbe kwa hadhira bhana.

Mara mia mgogo anakupa uhalisia !
Ila utapeli wa maji na mafuta na kumsukuma mtu kwa lazima ili aanguke hapana.
πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…