na ni mlevi kweli yule hujakosea.......tena sugu...Ni baada ya mgogo kuponda maombi ya kupokea magari, nyumba nk.
Mimi binafsi namuona Mzee wa Upako kama mlevi wa konyagi na kvant na sio mchungaji.
Kunywa soda baridi nitalipaYupo sahihi
Mgogo ni comedian
Tony kapola sio mchungaji ni motivation speaker
Hawa wawili wote wanafanya kazi halali ila mwaposya ni tapeli
NAKAZIAYupo sahihi
Mgogo ni comedian
Tony kapola sio mchungaji ni motivation speaker
Hawa wawili wote wanafanya kazi halali ila mwaposya ni tapeli
Tatizo mnataka faraja.ukweli hamuutaki.Ingawa mzee wa upako ni mshenzi ila huyu mgogo naye huwa anavuka mipaka kwa kuropoka. Kuna clip yake alidai kuwa elimu kwa mtoto wa kike sio lazima. Toka hiyo siku nilimwona Mgogo naye ni mpuuzi. Kimsingi hawa wachungaji wote ni matapeli wanaotumia biblia.
Hayo ni mambo ya kiimani hajasema usilipwe kama ulikopesha mtu.Ni kweli.
Maana anaongeaga mambo kiasi cha kushangaza.
Mfano kutetea waliokopa Hela za watu bila kulipa kwa wakati kwa kadiri walivyokubaliana hivi hiyo ni akili?
Badala ya kusisitiza uadilifu na uaminifu yeye anafurahia utapeli , wizi wa kuaminiwa?!
Wewe pia ni tapeli.Tatizo mnataka faraja.ukweli hamuutaki.
Elimu kwa mtoto wa kike haina maana kabisa.
Haya.subiri ukue.Wewe pia ni tapeli.
NimeshakuaHaya.subiri ukue.
Hapana umerefuka tu.Nimeshakua
OkHapana umerefuka tu.
Yule ni comedian. Jamaa hasomi wala kurefer Bible yeye ni blah blah tu. Inatakiwa aongezwe na Hananja kwenye hiyo list.Nasimama na Mchungaji Mgogo watu wasidanganywe na wahubiri matapeli.
baada ya kuonekana ulevi wake hadharani kawa mpinga kristo.Lusekelo ni mch wa mchongo
Mgogo namkubali sana
Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji).
Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
Siku anahojiwa na Salama Jabir ndio niliujua usanii wake.Mzee wa upako anamuona mwenzeke ni kituko wakati naye ni walewale watumishi wa mungu wenye utata katika mafundisho yao, ama kweli wahenga walinene nyani haoni 'tigo' lake
Hafai kuliongoza kanisa.baada ya kuonekana ulevi wake hadharani kawa mpinga kristo.