Mzee wa Upako na Dudu Baya mmelidharau bunge la Tanzania

Ndiyo yaleyale! Mwafrika(hasa sisi weusi) ni kiumbe wa ovyo kabisa! Mtu akiwa na madaraka uwa anajiona ni special sana hivyo hataki kukosolewa na akikosolewa anafikiria kutumia vitisho kunyamazisha watu!
 
Ilikuwa si mchezo,kila mtu anakaa kwenye TV analifatilia
Sahv ukifungulia bunge watu hawana habari nalo sana sana watafungulia chanel za wakata mauno na kuangalia tamthiliya za kituruki Korea

Ova
 
Sitta alikuwa moto wa kuotea mbali.
Hata mimi siangalii bunge la sasa.
 
mtu asiyelidharau bunge naye anapswa kudharauliwa
 
Wakwa hiyo washikwe kwa kutoa maoni yao????
 
kwani walichosema ni uongo? kimsingi hakuna Bunge pale ni kikundi cha wahuni wachache wanakula kodi za watanzania tu bure bila tija yoyote ile.
 
Hivi walitumia kigozo cha degree ya Ujinga kumpa iko cheo cha Raisi wa Wabunge au walizingatia mwili?

Wazungu wana akili sana ukiona mtu mweusi wanampa cheo amin wamedhamilia kumtumia.
 
hawajaongea uongo kuhusu huo muhili ambao haujitegemei,bunge letu n dhaifu
 
Wako sahihi wana haki ya kutoa maoni yao....Bunge la sasa ni GENGE LA WAHUNI WANAOJALI MIFUMO YAO YA KWENDA HAJA KUBWA...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
kama kupita kwenye kura wameanza wenyewe kukiri dhambi zao kwamba walikuwa wanaiba kura...sasa hapo kuna akili ipo bungeni pale? au kuna kundi la majambazi?
BUNGE NI GENGE LA WAHUNI....KULA BIA....CHOMA NYAMA...NA KUPIGANA MIKASI..
 
Alichofharau ni kipi hapo!!??
Huyo dudu bwisye au upakobwisye
 
Sio la Tanzania tu, mm nipoteza muda kuwaangalia watu wa siasa ili iweje. Wanaboronga tunapambana na matokeo, akili inakomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…