Ni kweli DP World si udini ila kwanini kunatajwa dini?
Serikali isituhusu Kanisa kuwa sehemu ya mkono wake kwenye kutekeleza maslahi ya Umma.Kwa hakika haupo udini hapa!
Amesema "Naonge mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye ansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."
Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo ya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unapinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mibaya mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"
View attachment 2725036
Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
Naunga mkono hojaKwa hakika haupo udini hapa!

𝙈𝙩𝙪 𝙖𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙗𝙖𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙣𝙟𝙚𝙢𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙩𝙖𝙖𝙗𝙪; 𝙣𝙖 𝙗𝙖𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙣𝙟𝙚𝙢𝙖 𝙮𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙞𝙠𝙖𝙞𝙨𝙝𝙞𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙝𝙖𝙨𝙖𝙧𝙖.Kwa hakika haupo udini hapa!
Amesema "Naonge mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye ansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."
Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo ya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unapinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mibaya mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"
View attachment 2725036
Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
Form 4 ile ya mwisho sijui wanaitaje!Hivi mzee wa upako ana elimu gani?
Moja ya ahadi zao ni kujenga misikitiNi kweli DP World si udini ila kwanini kunatajwa dini?
Elimu ya UpakoHivi mzee wa upako ana elimu gani?
Mimi simpingi wala kumbeza mtiwa mafuta wa Bwana.Kwa hakika haupo udini hapa!
Amesema "Naonge mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye ansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."
Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo ya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unapinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mibaya mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"
View attachment 2725036
Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
Ukiwa unapinga ndio una elimu?Hivi mzee wa upako ana elimu gani?
Maoni yake yaheshimiwe, ame speak his mind kwa kujipa jukumu la kuijibia serikali.Kwa hakika haupo udini hapa!
Amesema "Naonge mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye ansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."
Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo ya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unapinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mibaya mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"
View attachment 2725036
Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
Aisee!
Elimu yake nenda kanisani kwake. Au ungeanza kwa kujitambulisha wewe na elimu yako kwanza, ili uwe na haki ya kuuliza elimu za wengine.Hivi mzee wa upako ana elimu gani?
Alitegemea BBC wausome wakati mkataba unataka mashauri yafanyike Nje ya Tanzania Tena kwa kimombo?Maoni yake yaheshimiwe, ame speak his