Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

We mzee wa Upako (upako usio nao) TEC ni taasisi kubwa, kongwe na makini - sio ki kampuni chako cha kukwapulia watu sadaka kila jpili.
 
Kazi ya kanisa ni kuonya mabaya sio kuhukumu
 
Eleza kati ya Ushoga na Bandari lipi ni tatizo kubwa na ni lipi ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Ni kwanini TEC hawatoi waraka kupinga Ushoga?!.

Jibu ni kwamba HAWARAKI KUWAUDHI WAZUNGU AMBAO NDIO WAFADHILI WAO.
NA NDIO HUU UNAFIKI TUNAOUZUNGUMZIA
Watoe waraka kwani serikali imeruhusu ushoga kupitia bunge?
Sheria zetu zinaruhusu ushoga?
 
Watoe waraka kwani serikali imeruhusu ushoga kupitia bunge?
Sheria zetu zinaruhusu ushoga?
Mnajing'atang'ata tu mnapoambiwa kukemea ushoga kwa nguvu zote. TEC inashindwa nini kujitokeza hadharani kupinga ushoga na kuishinikiza serikali nayo ijitokeze waziwazi kupinga kama alivyofanya Museven. Mnaogopa nini
 
Konyagi inaongea...kuna dada alikuwa anamtifua Ubungo Msewe mwambieni anamsalimia. Hakuna hata moja la maana aliliongea Pampula huyo.
Mbona wadada wa Padre Dk. Mtoa Waraka waliopo Nyegezi kule Mwanza tunawajua na tupo kimya? Tuwataje?
 
Mahusiano ya kanisa na dola au serikali ya kimaendeleo, tiba ya jamii na kisera ili kuifanya nchi isonge mbele, wamechambua na kutafakari hivyo walichofanya ni kuishauri serikali kwa kutimiza wajibu wao, na sidhani km serikali inakerwa ki hivyo, wanasiasa kwa maslahi ya kura wanaweza kukereka.
 
Wachina wanashauriwa na dini gani?
 
Mnajing'atang'ata tu mnapoambiwa kukemea ushoga kwa nguvu zote. TEC inashindwa nini kujitokeza hadharani kupinga ushoga na kuishinikiza serikali nayo ijitokeze waziwazi kupinga kama alivyofanya Museven. Mnaogopa nini
Serikali (katiba) ya Tanzania haijakubali ushoga.
Na Serikali haija onesha dalili za kutaka kupeleka mswada bungeni ili turekebishe sheria zinazopingana na ushoga.
 
We mzee wa Upako (upako usio nao) TEC ni taasisi kubwa, kongwe na makini - sio ki kampuni chako cha kukwapulia watu sadaka kila jpili.
Huyu jamaa ameenda kushambulia wengine bila kuchambua vipengele vya mkataba wa bandari
Inaonesha ana chuki binafsi na wakatiloki

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…