Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Kitakacho kuuma zaidi ni siku utakayogundua yuko na JF anajiita cocastic
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Aiseeeee we jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitakacho kuuma zaidi ni siku utakayogundua yuko na JF anajiita cocastic
acha umalayaNaomba namba za mzee wako za Whatsapp mkuu.
Maisha yakeMimi sina noma na huyu mzee, lakini bwana father kazidisha kwakweli. Yeye hakuna meme au video ya kuchekesha inampita lazima ataiweka status tu, yaani hadi sometimes watu wangu wa karibu wenye namba yake wanakuwa wanascreen shot vitu vya ajabu alivyo'post mzee wangu na kunitumia huku wakiambatanisha na mshangao au kicheko!
Kwani huyu mzee ana shida gani lakini!? Mbona smart phone kanza kutumia kitambo sana tu. Yaani hapitwi na tukio lolote mzee wangu lazima ataliapload tu, na muda wote yeye status zake WhatsApp hazikauki hakuna tukio limetrend Bongo limempita father.
Nikijaribu kumwambia, "Sasa father kuna baadhi ya vitu saivi unatakiwa upunguze kupost mtandaoni", ataishia ku-reply kwa emoji za kucheka halafu cha kushangaza atanitumia na mimi vimeme viwili vitatu au stickers zile za kuchekesha basi.
Ni kweli kabisa kuna vingine vinachekesha sana lakini inabidi apunguze ukizingatia na umri wake umeshakwenda, naamini hata humu JF kuna baadhi ya wanajukwaa wana namba yake na watakuwa wanaenjoy sana memes zake lake jaribuni kumshauri na ninyi mzee wangu apunguze kidogo anajishusha ananishusha na mimi mwanaye.
Ramadan Mubarak.
🤣🤣🤣Ameshascreen shot Uzi wako ..ameuweka status kama mene
Duh😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kitakacho kuuma zaidi ni siku utakayogundua yuko na JF anajiita cocastic
Sawa Mgeni wa Jiji nimepoaaUkute mzee anajaribu kumuimpress Ma'dogo, Mkuu kuwa mpole tu [emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28] acha tu!Nikijaribu kumwambia, "Sasa father kuna baadhi ya vitu saivi unatakiwa upunguze kupost mtandaoni", ataishia ku-reply kwa emoji za kucheka halafu cha kushangaza atanitumia na mimi vimeme viwili vitatu au stickers zile za kuchekesha basi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wacha Mzee ajipe rahaa
Ngoja nimuulize, siwezi kutoa bila ruhusa yake kabla hajapoa nimekula sana stick kama nikifanya kitu bila ruhusa yake. Hiyo dhana bado ninayo hadi leoNaomba namba za mzee wako za Whatsapp mkuu.
acha umalaya
Live and let live!Mimi sina noma na huyu mzee, lakini bwana father kazidisha kwakweli. Yeye hakuna meme au video ya kuchekesha inampita lazima ataiweka status tu, yaani hadi sometimes watu wangu wa karibu wenye namba yake wanakuwa wanascreen shot vitu vya ajabu alivyo'post mzee wangu na kunitumia huku wakiambatanisha na mshangao au kicheko!
Kwani huyu mzee ana shida gani lakini!? Mbona smart phone kanza kutumia kitambo sana tu. Yaani hapitwi na tukio lolote mzee wangu lazima ataliapload tu, na muda wote yeye status zake WhatsApp hazikauki hakuna tukio limetrend Bongo limempita father.
Nikijaribu kumwambia, "Sasa father kuna baadhi ya vitu saivi unatakiwa upunguze kupost mtandaoni", ataishia ku-reply kwa emoji za kucheka halafu cha kushangaza atanitumia na mimi vimeme viwili vitatu au stickers zile za kuchekesha basi.
Ni kweli kabisa kuna vingine vinachekesha sana lakini inabidi apunguze ukizingatia na umri wake umeshakwenda, naamini hata humu JF kuna baadhi ya wanajukwaa wana namba yake na watakuwa wanaenjoy sana memes zake lake jaribuni kumshauri na ninyi mzee wangu apunguze kidogo anajishusha ananishusha na mimi mwanaye.
Ramadan Mubarak.
Samahani mkuu,Mimi sina noma na huyu mzee, lakini bwana father kazidisha kwakweli. Yeye hakuna meme au video ya kuchekesha inampita lazima ataiweka status tu, yaani hadi sometimes watu wangu wa karibu wenye namba yake wanakuwa wanascreen shot vitu vya ajabu alivyo'post mzee wangu na kunitumia huku wakiambatanisha na mshangao au kicheko!