Mzee wangu anapost sana memes mtandaoni!

Nikijaribu kumwambia, "Sasa father kuna baadhi ya vitu saivi unatakiwa upunguze kupost mtandaoni", ataishia ku-reply kwa emoji za kucheka halafu cha kushangaza atanitumia na mimi vimeme viwili vitatu au stickers zile za kuchekesha basi.


🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wacha Mzee ajipe rahaa
 
Maisha yake
Furaha yake.
 
[emoji28][emoji28] acha tu!
 
acha umalaya

Una shida sana wewe
Umenitukana PM umeona haitoshi bado unaendelea.
Wewe ni kama kijambo kwenye upepo unapita shwaaa usinichoshe na matusi yako laana sumaka wewe.
 
Live and let live!
Udijiendekeze kwamba huwezi kuishi dunia moja na baba yako.
 
Hujui tu hiyo ndio njia ya kupona presha na sukari mwache hebu mwambie atume na humu tuone
 
Samahani mkuu,
Matumizi ya neno mzee yananichanganya sana.
Ninavyofahamu mimi ni;
1 Mzee=Mtu mwenye umri mkubwa+umvi ama analingana na baba yako/babu yako.
2 Mme wako.

Wewe una maanisha lipi kati ya hayo?

Naziweka shukurani zangu hapa chini.
 
Mwache mzee mwenzangu bana, enzi zetu haya mambo hayakuwepo, alafu ningemfaham nadhani ningemuunga mkono kumpa na link ya memes za kutosha tu.

Sometimes mtu hana makundi, halewi, hana kajumba 2 nk, anaona bora huu muda na kiinua mgongo awe anacheka kwa hiyo style.

Angekuwa na vile nimetaja hapo juu pia lazima ungeleta uzi kuuliza vijana wenzako wazee wenu wanaishije huko?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…