Mzee wangu anapost sana memes mtandaoni!

Mkuu wewe jikite kutafuta hela. Wazazi huwa wanasikiliza watoto wenye wapo vizuri kifedha. Kama hauna hela hauwezi kumshauri anaona kama una msongo wa mawazo na unataka kumalizia stress zako kwake.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
😅😅😅😅 baba katisha sana. Hebu tupe baadhi ya memes anazopost tuone
 
Mkuu wewe jikite kutafuta hela. Wazazi huwa wanasikiliza watoto wenye wapo vizuri kifedha. Kama hauna hela hauwezi kumshauri anaona kama una msongo wa mawazo na unataka kumalizia stress zako kwake.
Naikubari asilimia 100.
 
Mkuu wewe jikite kutafuta hela. Wazazi huwa wanasikiliza watoto wenye wapo vizuri kifedha. Kama hauna hela hauwezi kumshauri anaona kama una msongo wa mawazo na unataka kumalizia stress zako kwake.
🤣🤣Anaona anamfanyia fujo tu
 
Una shida sana wewe
Umenitukana PM umeona haitoshi bado unaendelea.
Wewe ni kama kijambo kwenye upepo unapita shwaaa usinichoshe na matusi yako laana sumaka wewe.
nimekutukana wapi wee boya?hivi unaakili kweli wewe?
ndiomana huolewi.🤣
 
Umenena vyema Mkubwa.
 
Kama Hapost maudhui ya Ngono wala picha za nusu utupuu wew ndo mwenye tatizo hapoo...!! Kuna kipindi nilisev namba ya uncle wangu flani yule anapost mpaka wanawake wenye mikalioo wanachezaa wakikatikaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani nilikuwa nashangaa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…