Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23]Ameshascreen shot Uzi wako ..ameuweka status kama mene
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Ameshascreen shot Uzi wako ..ameuweka status kama mene
Hakuna kula ugali Leo,na Hela ya bando hupati
AiseeKitakacho kuuma zaidi ni siku utakayogundua yuko na JF anajiita cocastic
Mkuu wewe jikite kutafuta hela. Wazazi huwa wanasikiliza watoto wenye wapo vizuri kifedha. Kama hauna hela hauwezi kumshauri anaona kama una msongo wa mawazo na unataka kumalizia stress zako kwake.
NAKAZIA HAPAKwani mzee kupost funny memes ni tatizo?
Haya maisha mnayachukulia serious kupitiliza.
Just chill and enjoy the memes from your father.
Naikubari asilimia 100.Mkuu wewe jikite kutafuta hela. Wazazi huwa wanasikiliza watoto wenye wapo vizuri kifedha. Kama hauna hela hauwezi kumshauri anaona kama una msongo wa mawazo na unataka kumalizia stress zako kwake.
🤣🤣Anaona anamfanyia fujo tuMkuu wewe jikite kutafuta hela. Wazazi huwa wanasikiliza watoto wenye wapo vizuri kifedha. Kama hauna hela hauwezi kumshauri anaona kama una msongo wa mawazo na unataka kumalizia stress zako kwake.
nimekutukana wapi wee boya?hivi unaakili kweli wewe?Una shida sana wewe
Umenitukana PM umeona haitoshi bado unaendelea.
Wewe ni kama kijambo kwenye upepo unapita shwaaa usinichoshe na matusi yako laana sumaka wewe.
Umenena vyema Mkubwa.Mwache mzee mwenzangu bana, enzi zetu haya mambo hayakuwepo, alafu ningemfaham nadhani ningemuunga mkono kumpa na link ya memes za kutosha tu.
Sometimes mtu hana makundi, halewi, hana kajumba 2 nk, anaona bora huu muda na kiinua mgongo awe anacheka kwa hiyo style.
Angekuwa na vile nimetaja hapo juu pia lazima ungeleta uzi kuuliza vijana wenzako wazee wenu wanaishije huko?.
Mzee anapost sana memes na video za kuchekesha, imekuwa too much! Woooii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] baba katisha sana. Hebu tupe baadhi ya memes anazopost tuone
Tuone memes mbili tatuMzee anapost sana memes na video za kuchekesha, imekuwa too much! Woooii
Mzee ni Askari mstaafu kwahiyo ni jobless ndiyo.Mzee wako ni jobless