Mzee wangu anapost sana memes mtandaoni!

Mzee wangu anapost sana memes mtandaoni!

Yaani vijana wanaona uzee kama ugonjwa au ulemavu....... unaweza kukuta mtu mwenyewe anayeitwa mzee hata miaka 70 hana.......

Vijana wajue kuwa uzee ni hali tu ya kuongeka na kuchoka mwili.....lakini nafsi haizeeki...... kutokana na umri Kuna mambo tu unajizuia kuyafanya kutokana na taswira yako kwenye jamii iliyokuzunguka......
Huyu ni mzee, ana'range 60s...
 
steve3.gif
 
Naomba namba za mzee wako za Whatsapp mkuu.
 
Back
Top Bottom