antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Naamini suluhisho lingepatikana hapo kupitia sanduku la kura, ila tatizo ni kuwa mchakato mzima wa uchaguzi (kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza mshindi) unasimamiwa na kudhibitiwa na watu wasio na uzalendo, yaani wezi na wanyang'anyiLa sivyo itabaki kuwa jukumu la kila Mtanzania bara kuhakikisha uchaguzi wa 2025 unatoa raisi kutoka Tanzania bara, bila kujali yuko chama gani cha siasa.
Hao wezi na wanyang'anyi ni Watanganyika wanaofanya hivyo kwa ajili ya CCM. Labda sasa ni kuwaelimisha wafanye hivyo kwa ajili y TanganyikaNaamini suluhisho lingepatikana hapo kupitia sanduku la kura, ila tatizo ni kuwa mchakato mzima wa uchaguzi (kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza mshindi) unasimamiwa na kudhibitiwa na watu wasio na uzalendo, yaani wezi na wanyang'anyi
Deep state itajikausha kwa jambo kama hili kama raisi anatoka ZanzibarTangu niione hii picha na kuona deep state imejikausha...ndipo rasmi nikaamini kuwa Nchi ya Tanganyika inarudi.
ogopa sana Nchi yenye mfumo huu!
Muungano umeanza kuharibiwa hasa baada ya mfumo wa vyama vingi kuingia; muungano ulivokua miaka ya nyuma enzi kina Warioba wakiwa madarakani na ulivo sasa hvi ni tofauti kabisaMuungano wenywe ni fake tangu mwanzo leo ndio Mzee Warioba unaona?
Awamu hii kuna mazingira wezeshi ya kuvunja muungano kama ifuatavyo:View attachment 3124713
Ona pia
Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano
Je waziri mkuu ni wa Muungano au Tanganyika?
Mnafiki huyo mzee,jumbe walimvua urais kiujanja ujanja,wakamfunga kifungo Cha nje kigamboniMuungano wenywe ni fake tangu mwanzo leo ndio Mzee Warioba unaona?
Kiujanja gani wakati alilotaka kufanya lilijulikana? Yeye alifikiri kuvunja muungano ni suala la yeye kutangaza tu kuwa muungano umevunjika kuanzia sasa Zanzibar imejiunga rasmi na Oman sijui. Kina Seifu wakamripoti. Tena Nyerere alimhurumia akamwacha aishi Kigamboni, maana Zanzibar walimkataa kabisa hawakutaka hata kumwonaMnafiki huyo mzee,jumbe walimvua urais kiujanja ujanja,wakamfunga kifungo Cha nje kigamboni
Hiyo ipo kwenye katiba ya zanzibar ? au ni kihisia ? Vp kuhusu ma RC na ma DC nao hawaruhusu kuongozwa na kina mama wilayani au mkoaniAwamu hii kuna mazingira wezeshi ya kuvunja muungano kama ifuatavyo:
1. Zanzibar wamevunja katiba na hakuna kiongozi wa kuwakemea.
2. Rais wa Tanganyika (ssh) yamemzidi nguvu kuyakabili ukizingatia kule Zanzibar dini hairuhusu mwanamke kuongoza wanaume.
Acha kuparamia mambo,jumbe alitangaza kujiunga na Oman lini?..na kujiunga vipi!?..umelishwa propaganda umevimbiwaKiujanja gani wakati alilotaka kufanya lilijulikana? Yeye alifikiri kuvunja muungano ni suala la yeye kutangaza tu kuwa muungano umevunjika kuanzia sasa Zanzibar imejiunga rasmi na Oman sijui. Kina Seifu wakamripoti. Tena Nyerere alimhurumia akamwacha aishi Kigamboni, maana Zanzibar walimkataa kabisa hawakutaka hata kumwona
Duuuuuh! Kumbe Watanganyika Tumepigwa na kitu kizito.View attachment 3124713
Ona pia
Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano
Je waziri mkuu ni wa Muungano au Tanganyika?
Miaka ya 60, Tanganyika ilikua na watu zaidi ya milioni 10, ilikua ikitawaliwa na watu wa Butiama, walikuwa hawafiki hata 10,000. Hapo vipi?Yaani Tanganyika yenye watu zaidi ya milioni 60 inatawaliwa na Wazanzibar yenye watu chini ya milioni 3!
NANI AMETULOGA SISI WATANGANYIKA?
God Bless Tanganyika
Mngeonyesha mfano Septemba 21, 2024 ningekuoneni kweli mlidhamiria.Kutotumia busara na hekima hapa maana yake itumike nguvu, aidha ya wananchi mitaani kama ilivyokuwa Misri, Tunisia nk, au mapinduzi ya kijeshi, kama Burkina Faso au Niger. Sasa ndicho tunachotaka kweli?
Kwani ni mara ya kwanza mzee Warioba kulielezea hili? Bhasi wewe utakuwa mgeni katika medani za siasa nchi hii hasa tangia vuguvugu la katiba mpya lilipoanza mpaka kufikia rasimu ya Judge Warioba.Muungano wenywe ni fake tangu mwanzo leo ndio Mzee Warioba unaona?
Alafu huyu anayewakilisha Tanzania unaweza kukuta naye anatokea Makunduchi, π π,View attachment 3124748
Hebu ona hapa. Hivi ni watu wenye akili ya kipumbavu kiasi gani wataendelea kukubali vitu kama hivi? Ina maana Watanzania wenye akili ya namna hii wako CCM peke yake?
πββοΈβοΈπ―πππππ€πNi kosa la kikatiba, ambapo hatukutarajia raisi kutoka Tanzania bara anaweza kufa akiwa madarakani na makamu wa raisi toka Zanzibar akawa raisi wa Tanzania, katika mazingira ambayo raisi wa Tanzania ni raisi wa Tanzania bara (Tanganyika)
JPM ASINGEKUBALI HUU UJINGAMimi nitaendelea na msimamo wangu, kwamba mazingira ya muungano yaliyopo sasa ni muungano jina. Zanzibar wameshajitoa kwenye huu muungano kinyemela, na Tanzania bara inaendelea kuwahudumia na kuwafanya kama taifa kupe kwenye huu muungano. Ndio maana nasema wazi, katika mazingira kama haya yaliyopo, raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hapaswi kabisa kutoka Zanzibar, wala kuwa na watumishi wengi kama ilivyo sasa katika serikali ya muungano kama mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi wizarani, wakurugenzi Tamisemi nk. Kwa vitu walivyofanya Zanzibar katika kuuhujumu muungano ni lazima raisi wa Tanzania atoke Tanzania bara. Mbadala wa hili ni kuwa na serikali tatu, lazima kuwe na serikali ya Tanganyika. Hili halipaswi kuwa na mjadala tena.
Hatuna tatizo na raisi Samia, amefanya mengi mazuri kwa nia nzuri, japo kuna makosa mengi pia. Lakini katika mazingira ya muungano yaliyopo haifai tena yeye kuendelea kuwa raisi wa Tanzania. Kwa kuwa katiba inamruhusu kugombea, jambo la busara ni yeye kujitoa kugombea uraisi wa 2025 ili kutoa nafasi kwa mtu wa Tanzania bara kuwa raisi wa Tanzania. La sivyo itabaki kuwa jukumu la kila Mtanzania bara kuhakikisha uchaguzi wa 2025 unatoa raisi kutoka Tanzania bara, bila kujali yuko chama gani cha siasa.
View attachment 3124746
Kuendelea kukubali hali kama hii kwenye mikutano ya kimataifa ni matusi kwa Watanganyika
Acha utetezi wa kijinga!JPM ASINGEKUBALI HUU UJINGA