In fact Mzee,Mzee wetu kachoka sana, walikosea kumpa muda mrefu sana wa kusimama na kuongea.
Yeye kashafanya zamu yake imetosha, haya ya sasa atuachie sisi wenyewe tuhangaike nayo. Apunzike tu.
View: https://www.youtube.com/live/wEUJIEJ28Ts?si=ydn-fstezmmkfSAe
Wahuni wanamtumia vibaya mzee wa watu badala ya kumpa utulivu. Kila siku wanamchokonoa na kumdanganya ili wamfanye kuwa nyangumi wao awavushe kwenda Ikulu. Wanamkosanisha na serikali inayopaswa kumtunza na kumpatia kicheko cha furaha kama mstaafu. Alikuwemo ndani ya serikari kwa muda mrefu tu, mbona hoja ya serikali tatu haikuwaga agenda yake?In fact Mzee,
ana changamoto ya kiafya kwa muda sasa, na hajapata wasaa wakutosha kupumzika, anahangaishwa mno na wanasiasa na wana harakati.
Anastahili kupumzika na kuzingatia afya yake zaidi ya siasa na harakati, na kwakweli itamsaidia sana.
vinginevyo ataambiwa kaanguka kwa sababu ya njaa, huenda hajanywa chai, wengine watadai amarogwa, wengine watadai kafayiwa kitu mbaya na maadui zake n.k, ila kiukweli Mzee Warioba kachoka na anahitaji zaidi medical attention na mapumziko ya kutosha kuliko kukubali kuhangaishwa na wanaharakati na huku akijua vema kua hayuko fiti kiafya 🐒
Watu mna matatizo. Huoni faida ya kitu anachofanya? Ruhusuni mgombea huru ili wakafanye kazi anayofanya sasaHuyu mzee angekula mafao yake tu akaangalia Tom & Jerry na wajukuu zake
Sijui anahangaikia nini
Wala sina tatizo lolote ila nimechangia kama unavyochangia tuWatu mna matatizo. Huoni faida ya kitu anachofanya? Ruhusuni mgombea huru ili wakafanye kazi anayofanya sasa
Kwa bahati mbaya nishavuka umri wa uanaharakati! Kumbuka kikawaida umri wa uanaharakati unakoma pale ambapo Serikali inakuona wewe ni mtu wa kufa saa yoyote, hivyo huna manufaa kwake. Kwa bahati mbaya nilishaambiwa hivyo na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Wala sina tatizo lolote ila nimechangia kama unavyochangia tu
Nyie vijana (kama huna umri kama yeye) basi ni mda wa kupigania hayo mnayopigania
Mimi wala sio mpiga kura wa huko.
Nachangia tu kama wengine au vipi
Huyu mzee angekula mafao yake tu akaangalia Tom & Jerry na wajukuu zake
Sijui anahangaikia nini
Wengine wanataka wote tuwe na msimamo kama waoKabisaaa mwenye anapenda kashkash tu
Angebaki nyumbani na wajukuu wafichiane rimoti tu kugawana muda wa vipindi
Angeinjoy tu ✍️
I agree apumzike. Msimamo wake tumeujua. Mzee pekee mwenye consistency. Habadiliki badiliki kama kinyonga butikuIn fact Mzee,
ana changamoto ya kiafya kwa muda sasa, na hajapata wasaa wakutosha kupumzika, anahangaishwa mno na wanasiasa na wana harakati.
Anastahili kupumzika na kuzingatia afya yake zaidi ya siasa na harakati, na kwakweli itamsaidia sana.
vinginevyo ataambiwa kaanguka kwa sababu ya njaa, huenda hajanywa chai, wengine watadai amarogwa, wengine watadai kafayiwa kitu mbaya na maadui zake n.k, ila kiukweli Mzee Warioba kachoka na anahitaji zaidi medical attention na mapumziko ya kutosha kuliko kukubali kuhangaishwa na wanaharakati na huku akijua vema kua hayuko fiti kiafya 🐒
Huyu mzee wa watu kwa umri huu wake tayari kesho zake zimepungua sana, kumgeuza nyangumi majukwaani ni jitihada za kutaka kumuua bila kukusudia.Huyu mzee angekula mafao yake tu akaangalia Tom & Jerry na wajukuu zake
Sijui anahangaikia nini
Hao waliokualika hakuna mwenye akili timamu , mzee hana hata escort , bora wangeweka kama kochi kma makongamano makubwa ila hapo wanamchosha .Huyu mzee wa watu kwa umri huu wake tayari kesho zake zimepungua sana, kumgeuza nyangumi majukwaani ni jitihada za kutaka kumuua bila kukusudia.