peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Huyu mzee,awekwe mbali na Makonda
Mzee wetu kachoka sana, walikosea kumpa muda mrefu sana wa kusimama na kuongea.
Yeye kashafanya zamu yake imetosha, haya ya sasa atuachie sisi wenyewe tuhangaike nayo. Apunzike tu.
View: https://www.youtube.com/live/wEUJIEJ28Ts?si=ydn-fstezmmkfSAe
Kazee kakuwapa sumu watuKale KaDC ka Uzaramoni hakajaonekana maeneo ya huko Serena?
Safi sana Mkuu. Topic Closed.In fact Mzee,
ana changamoto ya kiafya kwa muda sasa, na hajapata wasaa wakutosha kupumzika, anahangaishwa mno na wanasiasa na wana harakati.
Anastahili kupumzika na kuzingatia afya yake zaidi ya siasa na harakati, na kwakweli itamsaidia sana.
vinginevyo ataambiwa kaanguka kwa sababu ya njaa, huenda hajanywa chai, wengine watadai amarogwa, wengine watadai kafayiwa kitu mbaya na maadui zake n.k, ila kiukweli Mzee Warioba kachoka na anahitaji zaidi medical attention na mapumziko ya kutosha kuliko kukubali kuhangaishwa na wanaharakati na huku akijua vema kua hayuko fiti kiafya 🐒
Ni kweli kabisaHuyu mzee wa watu kwa umri huu wake tayari kesho zake zimepungua sana, kumgeuza nyangumi majukwaani ni jitihada za kutaka kumuua bila kukusudia.
Lachawi noumaa kajamaaaKale KaDC ka Uzaramoni hakajaonekana maeneo ya huko Serena?
Elimu kwa watu wetu wengi bado iko chini sana na umaskini wetu bado mkubwa sana. Mgombea binafsi anaweza kuungwa mkono na bepari mmoja huko marekani akaiuza nchi yote.Watu mna matatizo. Huoni faida ya kitu anachofanya? Ruhusuni mgombea huru ili wakafanye kazi anayofanya sasa
Tatizo mnaasume upuuzi mkubwa. Hivi unadhani katika ngazi ya Urais mgombea huru anaweza kupita?Elimu kwa watu wetu wengi bado iko chini sana na umaskini wetu bado mkubwa sana. Mgombea binafsi anaweza kuungwa mkono na bepari mmoja huko marekani akaiuza nchi yote.
Kinyamkela. Chuki haijengi. Wakome kumsumbua mzee kwa manufaa yao. Mwenyewe amesema aliukataa mkutano mara kadhaa lakini wakazidi kumsakama. Lazima washitakiwe kwa kumsumbua mzee wa watu.kadhia ya kukumbwa na upepo ndio nini?
AaahaaaKabisaaa mwenye anapenda kashkash tu
Angebaki nyumbani na wajukuu wafichiane rimoti tu kugawana muda wa vipindi
Angeinjoy tu ✍️
Hatujaifikia hiyo luxuary, bado tunahangaika na kutafuta maji kwa watu wote.Tatizo mnaasume upuuzi mkubwa. Hivi unadhani katika ngazi ya Urais mgombea huru anaweza kupita?
Tunahitaji mgombea huru kuruhusiwa si kwa kuingia katika madaraka, ila mtu kuwa huru ili aweze kusimamia msimamo wake si msimamo wa Chama.
Mfano Dr Nchimbi kama mgombea huru angalikuwa anaruhusiwa, sasa hivi angelikuwa madarakani. Huu uhuni unaotokea sasa hivi, watu wangalisimama na kumwambia Samia hapana. Akifukuzwa chama bado anaendelea kushika wadhifa wake.
Naamini leo hii mgombea huru akiruhusiwa ingawa ni bunge la chama kimoja, moto utawaka na Chama lazima kiwajibike.
Mgombea huru ndiye mkombozi wa nchi hii, ingawa mgombea huru akiruhusiwa, CCM ni bye bye asubuhi na mapema. Na CCM inajua ndo maana haitaki kuruhusiwa mgombea huru.
Aahaaa etili tom na jerryHuyu mzee angekula mafao yake tu akaangalia Tom & Jerry na wajukuu zake
Sijui anahangaikia nini
Ni kweli kabisaHuyu mzee wa watu kwa umri huu wake tayari kesho zake zimepungua sana, kumgeuza nyangumi majukwaani ni jitihada za kutaka kumuua bila kukusudia.
Naunga mkono hojaElimu kwa watu wetu wengi bado iko chini sana na umaskini wetu bado mkubwa sana. Mgombea binafsi anaweza kuungwa mkono na bepari mmoja huko marekani akaiuza nchi yote.
Hana hoja zaidi ya chuki. Anahoji kwanini mzanzibar kawa DC bara lakini hahoji mtanganyika Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa Rais Zanzibar.I agree apumzike. Msimamo wake tumeujua. Mzee pekee mwenye consistency. Habadiliki badiliki kama kinyonga butiku
Mgombea huru wakati watanganyika bado wanajisaidia vichakani. Kitu ambacho Nyerere (mwenye akili) amekikataa msikishobokee kichwakichwa.Tatizo mnaasume upuuzi mkubwa. Hivi unadhani katika ngazi ya Urais mgombea huru anaweza kupita?
Tunahitaji mgombea huru kuruhusiwa si kwa kuingia katika madaraka, ila mtu kuwa huru ili aweze kusimamia msimamo wake si msimamo wa Chama.
Mfano Dr Nchimbi kama mgombea huru angalikuwa anaruhusiwa, sasa hivi angelikuwa madarakani. Huu uhuni unaotokea sasa hivi, watu wangalisimama na kumwambia Samia hapana. Akifukuzwa chama bado anaendelea kushika wadhifa wake.
Naamini leo hii mgombea huru akiruhusiwa ingawa ni bunge la chama kimoja, moto utawaka na Chama lazima kiwajibike.
Mgombea huru ndiye mkombozi wa nchi hii, ingawa mgombea huru akiruhusiwa, CCM ni bye bye asubuhi na mapema. Na CCM inajua ndo maana haitaki kuruhusiwa mgombea huru.
Mzee ana hoja nyingi tu nzuri.Hana hoja zaidi ya chuki. Anahoji kwanini mzanzibar kawa DC bara lakini hahoji mtanganyika Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa Rais Zanzibar.
Kila jambo na wakati wake !Wahuni wanamtumia vibaya mzee wa watu badala ya kumpa utulivu. Kila siku wanamchokonoa na kumdanganya ili wamfanye kuwa nyangumi wao awavushe kwenda Ikulu. Wanamkosanisha na serikali inayopaswa kumtunza na kumpatia kicheko cha furaha kama mstaafu. Alikuwemo ndani ya serikari kwa muda mrefu tu, mbona hoja ya serikali tatu haikuwaga agenda yake?