Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Naunga mkono hoja.Mzee wetu kashafanya mengi kwenye nchi hii kwa uzalendo kabisa. Alipaswa awe ana watu wengi sana ambao amewafundisha kazi na uzalendo na kuwa kama yeye ambao sasa anapaswa kuwaamini na kuwaachia kazi (succession) waendeleze pale alipoachia yeye. Sio yeye mwenyewe tena kuingia mzigoni kwa umri huu kama vile hakua wafuasi/wanafunzi. Mwalimu Nyerere alimchagua Mkapa (mwanafunzi wake) kuwa Rais akiamini ni mwaminifu kwakuwa alikuwa anamfahamu.
P