Mzee Warioba amepata kadhia ya kukumbwa na upepo mbaya mkutanoni. Tumuombee.

Safi sana Mkuu. Topic Closed.
 
Watu mna matatizo. Huoni faida ya kitu anachofanya? Ruhusuni mgombea huru ili wakafanye kazi anayofanya sasa
Elimu kwa watu wetu wengi bado iko chini sana na umaskini wetu bado mkubwa sana. Mgombea binafsi anaweza kuungwa mkono na bepari mmoja huko marekani akaiuza nchi yote.
 
Elimu kwa watu wetu wengi bado iko chini sana na umaskini wetu bado mkubwa sana. Mgombea binafsi anaweza kuungwa mkono na bepari mmoja huko marekani akaiuza nchi yote.
Tatizo mnaasume upuuzi mkubwa. Hivi unadhani katika ngazi ya Urais mgombea huru anaweza kupita?

Tunahitaji mgombea huru kuruhusiwa si kwa kuingia katika madaraka, ila mtu kuwa huru ili aweze kusimamia msimamo wake si msimamo wa Chama.

Mfano Dr Nchimbi kama mgombea huru angalikuwa anaruhusiwa, sasa hivi angelikuwa madarakani. Huu uhuni unaotokea sasa hivi, watu wangalisimama na kumwambia Samia hapana. Akifukuzwa chama bado anaendelea kushika wadhifa wake.

Naamini leo hii mgombea huru akiruhusiwa ingawa ni bunge la chama kimoja, moto utawaka na Chama lazima kiwajibike.

Mgombea huru ndiye mkombozi wa nchi hii, ingawa mgombea huru akiruhusiwa, CCM ni bye bye asubuhi na mapema. Na CCM inajua ndo maana haitaki kuruhusiwa mgombea huru.
 
Hatujaifikia hiyo luxuary, bado tunahangaika na kutafuta maji kwa watu wote.
 
Huyu mzee wa watu kwa umri huu wake tayari kesho zake zimepungua sana, kumgeuza nyangumi majukwaani ni jitihada za kutaka kumuua bila kukusudia.
Ni kweli kabisa
Watu hawana hata huruma na maisha yake
Elimu kwa watu wetu wengi bado iko chini sana na umaskini wetu bado mkubwa sana. Mgombea binafsi anaweza kuungwa mkono na bepari mmoja huko marekani akaiuza nchi yote.
Naunga mkono hoja
 
Mgombea huru wakati watanganyika bado wanajisaidia vichakani. Kitu ambacho Nyerere (mwenye akili) amekikataa msikishobokee kichwakichwa.
 
Ila babu angepumzika tu ale mafao atulie. Umri wake umeenda
 
Kila jambo na wakati wake !
Au nasema uongo ndugu zanguniii ??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…