Niliuliza nchi gani duniani ina mgombea huru ?Watu mna matatizo. Huoni faida ya kitu anachofanya? Ruhusuni mgombea huru ili wakafanye kazi anayofanya sasa
Hata Nyerere alikuwa akidhani bila yeye tz haiwezi kusonga mbele hata hatua 3. Mzee Warioba anadhani tunahitaji kusimuliwa historia ya TANU ili kuishi katika zama zetu. Sisi vijana tunajua kuwa wazee wetu wametua Tanzania (sio Tanganyika), Kiswahili, Muungano, Katiba, na umoja usiojali kabila na dini zetu. Tuko tayari kumuua yeyote atakae tutoa kwenye reli awe mwenzetu au mgeni.Ila babu angepumzika tu ale mafao atulie. Umri wake umeenda
Wote walioalikwa na kuhudhuria pale ni haohao waliozalisha tatizo (master mind) la Oct29. Uliluwa upuuzi mtupu tu.Mzee ana hoja nyingi tu nzuri.
Dah upo usingizi mzito sana. Master mind ni CCM kutokutaka fair election. Watu wakipambana ni kuua. Hata kama watu hao walichochea ndo police waue watu kama mende?Hata Nyerere alikuwa akidhani bila yeye tz haiwezi kusonga mbele hata hatua 3. Mzee Warioba anadhani tunahitaji kusimuliwa historia ya TANU ili kuishi katika zama zetu. Sisi vijana tunajua kuwa wazee wetu wametua Tanzania (sio Tanganyika), Kiswahili, Muungano, Katiba, na umoja usiojali kabila na dini zetu. Tuko tayari kumuua yeyote atakae tutoa kwenye reli awe mwenzetu au mgeni.
Hata wamarekani wanachojua wazee wao wamewaachia the United States of Amerika, American English, Ubepari na ubeberu. Watamuua yeyote atakaetaka kuwapora
Wote walioalikwa na kuhudhuria pale ni haohao waliozalisha tatizo (master mind) la Oct29. Uliluwa upuuzi mtupu tu.
Warioba, Ulimwingu, Tibaijuka, Mba, nk.
Daah!! sijui umekula maharagwe ya wapi mkuu. CCM iko sahihi kabisa kwakuwa yenyewe tangu mwanzo kabisa imesema inafuata siasa ya ujamaa na kujitegemea, mfumo ambao role model wake ni China, Urusi, Cuba, NKorea, na ulaya mashariki by then. Hebu niambie wewe kama China, Urusi, Cuba, North Korea kama kuna chaguzi kama wa nchi za Magharibi.Dah upo usingizi mzito sana. Master mind ni CCM kutokutaka fair election. Watu wakipambana ni kuua. Hata kama watu hao walichochea ndo police waue watu kama mende?
Mzee Mang'ulaKale KaDC ka Uzaramoni hakajaonekana maeneo ya huko Serena?
Wewe ni mpuuzi, bishaMgombea huru wakati watanganyika bado wanajisaidia vichakani. Kitu ambacho Nyerere (mwenye akili) amekikataa msikishobokee kichwakichwa.
Nadhani nitumie fursa hii kujibu hii hoja kwa faida yako BIN NUN na jamaa yangu kavulata na wengine ambao ni ukweli usiopingika hawajui dhana ya mgombea huru.Niliuliza nchi gani duniani ina mgombea huru ?
Hebu tupe elimu mkuu nchi gani inatumia mfumo huo wa mgombea binafsi.
Usilale endelea kwanza asante kwa elimuNadhani nitumie fursa hii kujibu hii hoja kwa faida yako BIN NUN na jamaa yangu kavulata na wengine ambao ni ukweli usiopingika hawajui dhana ya mgombea huru.
Mfumo wa Mgombea Huru (Private/Independent Candidate) ni mfumo wa kidemokrasia unaotumika katika nchi nyingi duniani, ikiwemo barani Afrika na mataifa makubwa yenye demokrasia komavu.
Kama nilivyotakiwa nijaribu kuorodhesha nchi zinazoruhusu Mgombea huru kwa ufupi:
Ndugu yangu BIN NUN , hivi unafahamu kuwa Kikatiba na kisheria, Tanzania ilishapewa uamuzi wa kimataifa kuhusu swala hili:
- Afrika: South Africa, Kenya, Uganda, Ghana, Zambia, na Malawi.
- Mataifa Mengine: Marekani (USA), Uingereza (UK), Ufaransa, India, na Canada.
Faida Kuu za Kuruhusu Mgombea Huru
- Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR): Mwaka 2013, katika kesi iliyofunguliwa na marehemu Mchungaji Christopher Mtikila dhidi ya Serikali ya Tanzania, mahakama iliamua kuwa marufuku ya mgombea binafsi inavunja Haki za Binadamu na Mikataba ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini.
- Mahakama iliamuru Tanzania iruhusu wagombea binafsi, lakini mchakato wa kisheria na mabadiliko ya Katiba umekuwa ukipigwa danadana na serikali.
Kuna faida lukuki za Serikali kuruhusu Mgombea huru, ikiwa ni pamoja na:-
- Uhuru wa Mawazo na Uuwajibikaji: Kiongozi anakuwa anawajibika kwa wananchi waliommchagua na siyo kwa "Uvungoni mwa Chama" au msimamo wa Mwenyekiti wa Chama.
- Kudhibiti Nidhamu ya Woga (Party Whip): Inawaondolea wanasiasa hofu ya kufukuzwa vyama pale wanaposimamia ukweli au kuwasilisha kero za wananchi dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
- Haki ya Kikatiba ya Kuchagua na Kuchaguliwa: Kila raia anapaswa kuwa na haki ya kugombea nafasi ya uongozi bila kulazimika kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
- Kuchechemua Uwajibikaji Bungeni: Hata kama bunge litakuwa na wabunge wengi wa chama kimoja, presence ya wagombea binafsi inaleta changamoto halisi ya kisiasa inayokilazimisha chama tawala kuwajibika.
- Fursa kwa Wataalamu na Wazalendo: Inatoa nafasi kwa watu wenye uwezo mkubwa (wataalamu, wanaharakati, viongozi wa kijamii) kuwatumikia wananchi bila kuingia kwenye siasa za majitaka za vyama.
Muhashimiwa (siyo Mheshimiwa) BIN NUN na kavulata niendelee au nisiendelee... au ngoja nilale
kipengele hiki nilikijibu kwa ufasaha katika comment nambari 29Usilale endelea kwanza asante kwa elimu
Pili kwa kuorodhesha nchi zinazoruhusu mchakato huo ikiwemo kenya.
Je mkuu ni mgombea gani huru/binafsi katika nchi hizo alishapigiwa kura na akashinda kupitia kiti cha ubinafsi/uhuru bila kuwa na chama?
Sasa kama ni ujamaa sheria ibadilishwe kusiwe na uchaguzi. Otherwise CCM is ruining this nationDaah!! sijui umekula maharagwe ya wapi mkuu. CCM iko sahihi kabisa kwakuwa yenyewe tangu mwanzo kabisa imesema inafuata siasa ya ujamaa na kujitegemea, mfumo ambao role model wake ni China, Urusi, Cuba, NKorea, na ulaya mashariki by then. Hebu niambie wewe kama China, Urusi, Cuba, North Korea kama kuna chaguzi kama wa nchi za Magharibi.
Mzee Warioba anapoteza hadhi yake kwakuwa ameshiriki kutengeneza Katiba kama ya China na Urusi lakini anataka tume ya uchaguzi kama ya Marekani, wapi na wapi.
Labda katiba yetu tufute maneno ya ujamaa na kujitegemea. China hakuna demokrasia lakini mambo yao yote yanakwenda.
CCM kaeni kwenye njia yenu ya ujamaa n kujitegemea, ongezeni risasi ili kulinda Katiba ya ujamaa na kujitegemea. Ujamaa n kujitegemea ndio sera ambayo imeruhusu mchagga kumiliki ardhi ya warugulu.
Ulitolea mfano Dr nchimbi kwenye hiyo comment mimi nimeuliza unitole mfano wa kiongozi aliewahi kushinda nchi yoyote kwa kiti cha ubinafsi ili iwe kama rejea.kipengele hiki nilikijibu kwa ufasaha katika comment nambari 29
Mzee Mangula hana hamu na kale kadubwana kalimuwekea sumu kwenye maji ya kunywa mzee akaenda kuzindukia ICU.Mzee Mang'ula
Sisi ni wajamaa tofauti na Kenya na nchi za Magharibi. CCM ni sawa na chama tawala cha China, kwani china wanafanyaje? Ujamaa huu umeshapoteza ardhi za mikoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji kumilikiwa na watu kutoka mikoa, wilaya, tarafa, vijiji na makabila mengine. Inaonekana sasa tunataka kugeukia ubepari zaidi sasa hivi. Yaani tunataka Sheikh avae kanzu yenye vifungo vyenye alama ya msalaba.all in all, kawapa makavu nyumbu kuwa
Vyama vya siasa ni lazima tukubaliane. Nchi yoyote ile huwa ina mambo ya misingi wote mnakubaliana nayo. Kwetu hapa, amani ni jambo la misingi. Tukubaliane wote, kama kuna kitu kinakuja kutisha amani yetu, wote tukubaliane tukiaache. Tukiaache.
Aaa bhana kama hicho kitu hakiko China, Urusi, NKorea, Cuba na Ulaya Mashariki ujue hicho kitu ni haramu Tz. Wachina na Warusi na Nyerere sio wajinga kiasi hicho. Nchi yetu bado ina wajinga na maskini wengi sana, hebu twendeni taratibu. Uchumi wetu bado ni mdogo sana kumudu kugharamia demokrasia kama ya Marekani; tutadumaa kwelikweli kama tutapanua demokrasia katika levels hizi tulizonazo sasa kiuchumi. Pale Kenya kila wiki wanagoma na kuandamana kisa wanayo katiba inayoruhusu upuuzi huo. Katiba ambayo haionyezi value yao kimaisha. Kutekana kumebaki kulekule mpaka sasa ingawa wanayo katiba ambayo inaweza kuufutilia mbali uchaguzi na kuanza upya.Nadhani nitumie fursa hii kujibu hii hoja kwa faida yako BIN NUN na jamaa yangu kavulata na wengine ambao ni ukweli usiopingika hawajui dhana ya mgombea huru.
Mfumo wa Mgombea Huru (Private/Independent Candidate) ni mfumo wa kidemokrasia unaotumika katika nchi nyingi duniani, ikiwemo barani Afrika na mataifa makubwa yenye demokrasia komavu.
Kama nilivyotakiwa nijaribu kuorodhesha nchi zinazoruhusu Mgombea huru kwa ufupi:
Ndugu yangu BIN NUN , hivi unafahamu kuwa Kikatiba na kisheria, Tanzania ilishapewa uamuzi wa kimataifa kuhusu swala hili:
- Afrika: South Africa, Kenya, Uganda, Ghana, Zambia, na Malawi.
- Mataifa Mengine: Marekani (USA), Uingereza (UK), Ufaransa, India, na Canada.
Faida Kuu za Kuruhusu Mgombea Huru
- Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR): Mwaka 2013, katika kesi iliyofunguliwa na marehemu Mchungaji Christopher Mtikila dhidi ya Serikali ya Tanzania, mahakama iliamua kuwa marufuku ya mgombea binafsi inavunja Haki za Binadamu na Mikataba ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini.
- Mahakama iliamuru Tanzania iruhusu wagombea binafsi, lakini mchakato wa kisheria na mabadiliko ya Katiba umekuwa ukipigwa danadana na serikali.
Kuna faida lukuki za Serikali kuruhusu Mgombea huru, ikiwa ni pamoja na:-
- Uhuru wa Mawazo na Uuwajibikaji: Kiongozi anakuwa anawajibika kwa wananchi waliommchagua na siyo kwa "Uvungoni mwa Chama" au msimamo wa Mwenyekiti wa Chama.
- Kudhibiti Nidhamu ya Woga (Party Whip): Inawaondolea wanasiasa hofu ya kufukuzwa vyama pale wanaposimamia ukweli au kuwasilisha kero za wananchi dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
- Haki ya Kikatiba ya Kuchagua na Kuchaguliwa: Kila raia anapaswa kuwa na haki ya kugombea nafasi ya uongozi bila kulazimika kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
- Kuchechemua Uwajibikaji Bungeni: Hata kama bunge litakuwa na wabunge wengi wa chama kimoja, presence ya wagombea binafsi inaleta changamoto halisi ya kisiasa inayokilazimisha chama tawala kuwajibika.
- Fursa kwa Wataalamu na Wazalendo: Inatoa nafasi kwa watu wenye uwezo mkubwa (wataalamu, wanaharakati, viongozi wa kijamii) kuwatumikia wananchi bila kuingia kwenye siasa za majitaka za vyama.
Muhashimiwa (siyo Mheshimiwa) BIN NUN na kavulata niendelee au nisiendelee... au ngoja nilale
Mkuu Tilatila, Tlaatlaah , kiukweli kabisa, naunga mkono busara zako, kwenye hii mikutano ya siasa, warsha na makongamano, wanapaswa pia waalike watu waliojaaliwa jicho la tatu, ambao wikiona tuu mtu, kama ni mgonjwa, watamuona tuu kwa kumtazama usoni, hivyo watashauri, aongee huku amekaa, sio lazima kila muongeaji azungumze huku amesimama!.In fact Mzee,
ana changamoto ya kiafya kwa muda sasa, na hajapata wasaa wakutosha kupumzika, anahangaishwa mno na wanasiasa na wana harakati.
Anastahili kupumzika na kuzingatia afya yake zaidi ya siasa na harakati, na kwakweli itamsaidia sana.
vinginevyo ataambiwa kaanguka kwa sababu ya njaa, huenda hajanywa chai, wengine watadai amarogwa, wengine watadai kafayiwa kitu mbaya na maadui zake n.k, ila kiukweli Mzee Warioba kachoka na anahitaji zaidi medical attention na mapumziko ya kutosha kuliko kukubali kuhangaishwa na wanaharakati na huku akijua vema kua hayuko fiti kiafya 🐒
Mzee wetu kashafanya mengi kwenye nchi hii kwa uzalendo kabisa. Alipaswa awe ana watu wengi sana ambao amewafundisha kazi na uzalendo na kuwa kama yeye ambao sasa anapaswa kuwaamini na kuwaachia kazi (succession) waendeleze pale alipoachia yeye. Sio yeye mwenyewe tena kuingia mzigoni kwa umri huu kama vile hakua wafuasi/wanafunzi. Mwalimu Nyerere alimchagua Mkapa (mwanafunzi wake) kuwa Rais akiamini ni mwaminifu kwakuwa alikuwa anamfahamu.Mkuu Tilatila, Tlaatlaah , kiukweli kabisa, naunga mkono busara zako, kwenye hii mikutano ya siasa, warsha na makongamano, wanapaswa pia waalike watu waliojaaliwa jicho la tatu, ambao wikiona tuu mtu, kama ni mgonjwa, watamuona tuu kwa kumtazama usoni, hivyo watashauri, aongee huku amekaa, sio lazima kila muongeaji azungumze huku amesimama!.
P