Mzee Warioba amepata kadhia ya kukumbwa na upepo mbaya mkutanoni. Tumuombee.

Naunga mkono hoja.
P
 
Sasa kama ni ujamaa sheria ibadilishwe kusiwe na uchaguzi. Otherwise CCM is ruining this nation
Kwani Urusi na China hakuna uchaguzi?. Katiba yetu inatamka hadi sasa kuwa nchi yetu ni nchi ya ujamaa na kujitegemea, kama sera yetu ni hiyo basi tuangalie China na Urusi katiba zao zikoje kwenye uchaguzi, madaraka ya Rais, usimamizi wa rasilimali, nk badala ya kuangalia katiba ya marekani au uingereza kwenye vipengele hivyo tu. Kufanya hivyo ni sawa na sheikh kuvaa kanzu na kilemba lakini mkononi kashika rozari.
 
Ndio watoto wapinzani wanataka na Mzee Butiku awe kama Mzee Warioba

Unaongea umeanguka❗️ Wanakucheka❗️
sasa Mzee angekufa pale ingekuwaje❗️

Au yule Mzee Ndio Baba yao kaanguka wangecheka
kweli ‼️
Kinachomhukumu Mzee Warioba ni kazi alizozifanya na nafasi alizohudumu kwenye taifa hili. Angekuwa sio mnafiki Tanganyika isingepotezwa maana alikuwepo na alikuwemo wakati inapotezwa na wakati imeshapotezwa na alikuwa na alikuwa kijana mwenye nguvu zake na sauti. Now is too late to..., atafia majukwaani bure bila sababu. Aungane tu na wenzake akina Malecela, Pius Msekwa, Mongela, Ana Abdallah, Issa Shivj, Butiku, nk alioshirikiana nao kuipoteza tanganyika kukaa kimya. Sisi vijana tutajua wenyewe ni cha kufanya kwa wakati wetu na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…