Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Kwani hiyo corona inachagua watu wa kuwapata?

Mbona Shaka anafanya vikao kila uchaao?
 
Hapo hapo kwenye kura ya maoni ccm watapenyea hapo waliokataa washinde
wenzetu wakenya walipofika hapo kabla ya katiba haijaazwa kutumika ilipitishwa tena kwenye kamati ya watu sita, watatu walitoka Kenya na watatu walitoka nje ya Kenya akiwemo koffi anani. wao waliipitia upya ile katiba kuangalia vifungu vinavyojibu maslahi ya wananchi sio uongozi uliopo, kwaiyo walipitia kila kifungu ndio hiyo katiba ya Kenya iliyopo
 
Ulitaka Warioba akatae jibu la Rais? Uongozi na kuwa na Wazee ni hazina kubwa. Hiki ndicho inapingukiwa CHADEMA.

Ukiwauliza CHADEMA Wazee wenu wa chama mnaokwenda kuomba ushauri ni nani? Watakuambia Edwin Mtei, mkwe wa Freeman Mbowe na Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Aya kula ukalale
 
wenzetu wakenya walipofika hapo kabla ya katiba haijaazwa kutumika ilipitishwa tena kwenye kamati ya watu sita, watatu walitoka Kenya na watatu walitoka nje ya Kenya akiwemo koffi anani. wao waliipitia upya ile katiba kuangalia vifungu vinavyojibu maslahi ya wananchi sio uongozi uliopo, kwaiyo walipitia kila kifungu ndio hiyo katiba ya Kenya iliyopo

Tutafika mkuu safari bado ndefu
 
Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Mzee mbona Kama anaanza kutuchezea AKILI,kwamba tupo kalantin, mzee Wariba tafadhali usiingie kwenye mtogo huu, watz sio wajinga

Katiba ni Sasa, mbona kila anapoenda SSH Kuna mikusanyiko?

Au tuseme corona inaonekana kwenye katiba tu
 
Ni visingizio vya kuvuta muda tu hivyo!
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.

Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Source: BBC Dira ya Dunia!
Mzee Warioba asilete siasa na hana haja ya kumsemea Maza unless kwenye yale mazungumzo yao ndiyo alivyoambiwa.

Anyway, Corona gani inayoweza kuzuia kura Tanzania. Mpaka sasa hakuna wanachofanya kuhusiana na corona.... Sasa ni kwa nini iwe issue tu pale Katiba mpya inapoongelewa. Mwaka jana nchi xilipolock down sisi tuliendelea na uchaguzi tukafanya. Kama South Africa wamefanya uchaguzi na Corona leo Tanzania tunashindwa....!!
 
mzee warioba tunakuheshimu sana, tunakuomba usijiingize kwenye mkondo huo.
 
Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Kura ya maoni kwa katiba ipi?
 
..ile sababu ya kujenga uchumi haipo tena, sasa amefichama kwenye corona?
 
Back
Top Bottom