Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Maupambavu mengine haya! Mbona uchaguzi mkuu tulipiga kura?

Akili za viongozi hawa ata mtoto wa std3 anawazidi.
 
Upuuzi mtupu, wazee walikuwa wapi wakati jiwe akitamalaki kama mfalme kwenye Jamuhuri?
Hao wazee mbona wameshindwa kumaliza umaskini uliokithiri kwa miongo sita?
Ulitaka Warioba akatae jibu la Rais? Uongozi na kuwa na Wazee ni hazina kubwa. Hiki ndicho inapingukiwa CHADEMA.

Ukiwauliza CHADEMA Wazee wenu wa chama mnaokwenda kuomba ushauri ni nani? Watakuambia Edwin Mtei, mkwe wa Freeman Mbowe na Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Yeye Samia si ndio Kila kukicha anapiga simu kwenye matamasha ya kina Zuchu kwahio huko huwa haoni Corona?
 
Na mimi nilitaka kuuliza hili,maana naona kama Maza kachanginyikiwa hivi

..sitastaajabu akija na kisingizio cha "matishio ya ugaidi."

..yeye aendelee na majukumu yake ya Uraisi, ila asizuie wananchi kujadiliana kuhusu Katiba mpya.
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.

Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Source: BBC Dira ya Dunia!
Mbona mwaka
jana tumepiga kura uchaguzi mkuu wakati Korona ndo ilikuwa imepamba moto.
 
Watanzania wanaosikiliza radio wanalishwa maandazi juu makubwa ndani yamejaa upepo!.

Yaani katiba mpya inasingiziwa ndg covid ila ngoja tufike kwenye uchaguzi wa viongozi wa kisiasa, hutasikia huyo covid anatajwa.

Hiyo lugha through mzee Joseph ni inaweza kuwa ya kilaghai kwa wasikilizaji ila jwa wachambuzi wa kina si rahisi kumdanganya!.
 
Yaani wanavyoogopa katiba mpya, mh! Unajua kabisa wezi wa kura zako ni wapi. Wakati Corona ipo hawakuigopa ikaondoka na watu na yule baba lao mashetani akaaga tarehe 17 March 2021. Sasa leo eti wanaogopa Corona. Katiba mpya ni lazima, warembue macho, wasirembue...
Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
 
Watanzania wanaosikiliza radio wanalishwa maandazi juu makubwa ndani yamejaa upepo!.

Yaani katiba mpya inasingiziwa ndg covid ila ngoja tufike kwenye uchaguzi wa viongozi wa kisiasa, hutasikia huyo covid anatajwa.

Hiyo lugha through mzee Joseph ni inaweza kuwa ya kilaghai kwa wasikilizaji ila jwa wachambuzi wa kina si rahisi kumdanganya!.
Ni kweli. Kumbe juzi alienda kwa Warioba ili amlishe maneno ya kusema? Wiki ijayo ataenda kwa Butiku atamaliza kwa Jenerali
 
Yaani wanavyoogopa katiba mpya, mh! Unajua kabisa wezi wa kura zako ni wapi. Wakati Corona ipo hawakuigopa ikaondoka na watu na yule baba lao mashetani akaaga tarehe 17 March 2021. Sasa leo eti wanaogopa Corona. Katiba mpya ni lazima, warembue macho, wasirembue...
Hata sasa wanafanya mikutano ile ya katiba mpya ndio wanasema kuna ugaidi tishio
 
Ni shughuli gani imesimama kwasababu ya Corona? Huyo mzee angekaa kimya kuliko kuleta sababu ya kihuni aliyoambiwa.
Zee zima linashindwa kujua kauli za KIHUNI toka kwa Samia na MaCCM.lingekaa kimya tu. Idiot
 
Back
Top Bottom