Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Na SENSA 2022 haitakuwepo? Mwambie ASITUTANIE AROO.
 
Hii ni hatua nzuri. Mama Samia anastahili pongezi.
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.

Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Source: BBC Dira ya Dunia!
Sound 😝😝
 
Nchi hii kila siku inajisifia kwa kuendelea na maisha ya kawaida huku kukiwa na Corona. Leo wanaogopa kufanya michakato kwa sababu ya Corona.
 
Upuuzi mtupu, wazee walikuwa wapi wakati jiwe akitamalaki kama mfalme kwenye Jamuhuri?
Hao wazee mbona wameshindwa kumaliza umaskini uliokithiri kwa miongo sita?
Wanadhani watamuonea Samia,hakuna Katiba mpya hadi ccm waamue.
 
Nikikumbuka issue ya COVID 19 nacheka sana sana
Umeonaeeee?
Mawazari hao hao waliokuwa wanatembea na nyungu mitaani kutulazimisha kujifukiza lkn leo hii ndio wanatuhimiza kuchanja.
 
Upuuzi mtupu, wazee walikuwa wapi wakati jiwe akitamalaki kama mfalme kwenye Jamuhuri?
Hao wazee mbona wameshindwa kumaliza umaskini uliokithiri kwa miongo sita?
Maskini ni wewe tu Yoda ambaye umekaa kwenye JF utarajia maisha yataunyokea bila kujishughulisha na uchumi.
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.

Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Source: BBC Dira ya Dunia!
Corona wakati watu tunajazana kwenye madaladala kila siku bila barakoa?
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.

Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Source: BBC Dira ya Dunia!
Mwaka 2020 tulipiga kura, tena kabla ya kupiga kura kulikuwa na kampeni nchi nzima karibia mwezi mzima Je Corona haikuwepo? Na je Mwaka 2025 kama bado itakuwepo hatutapiga Kura? Au Corona huwa inapenda zaidi kushambulia watu kwenye kura za katiba?

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
wenzetu wakenya walipofika hapo kabla ya katiba haijaazwa kutumika ilipitishwa tena kwenye kamati ya watu sita, watatu walitoka Kenya na watatu walitoka nje ya Kenya akiwemo koffi anani. wao waliipitia upya ile katiba kuangalia vifungu vinavyojibu maslahi ya wananchi sio uongozi uliopo, kwaiyo walipitia kila kifungu ndio hiyo katiba ya Kenya iliyopo
Siasa za east Africa bwana wao ni Kenya jambo lolote linalofanyika Kenya ujue na Bongo litakuja tu hata kama litachelewa lkn mwisho litakuja pamoja na Uganda .Katiba itakuja ,urai picha Utakuja , tume huru ya uchaguzi itakuja na serikali tatu zitakuja ni muda tu .
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.

Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Source: BBC Dira ya Dunia!
Kweli sound tu.
 
Hahahaha! Mzee kakutana na jicho la kulegea kaanza kuweweseka
 
Sasa hiyo hazina yenu yenyu vipara inawafundisha nini kama hamjui hata wajibu wa msingi wa serikali inayokusanya kodi na tozo kutoka kwa raia wake?!

Back
Top Bottom