Kwani hiyo corona inachagua watu wa kuwapata?Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Watabana lkn mwisho wataachia tuNdiyo amempiga hiyo sound?
Hata mbuyu ulianza kama mchichaMzee kadanganya na amejaa [emoji23][emoji23]
Kwani wapi na lini uliwahi kuiona ccm inayo simamia jambo kwa dhati?Nitashangaa CCM wakikubali hii kitu wakati wamesema Katiba Mpya sio kipaumbele chao
wenzetu wakenya walipofika hapo kabla ya katiba haijaazwa kutumika ilipitishwa tena kwenye kamati ya watu sita, watatu walitoka Kenya na watatu walitoka nje ya Kenya akiwemo koffi anani. wao waliipitia upya ile katiba kuangalia vifungu vinavyojibu maslahi ya wananchi sio uongozi uliopo, kwaiyo walipitia kila kifungu ndio hiyo katiba ya Kenya iliyopoHapo hapo kwenye kura ya maoni ccm watapenyea hapo waliokataa washinde
Ccm nao watakushangaa ukiwashangaa kwani kubadilisha hawaruhusiwiNitashangaa CCM wakikubali hii kitu wakati wamesema Katiba Mpya sio kipaumbele chao
Ulitaka Warioba akatae jibu la Rais? Uongozi na kuwa na Wazee ni hazina kubwa. Hiki ndicho inapingukiwa CHADEMA.
Ukiwauliza CHADEMA Wazee wenu wa chama mnaokwenda kuomba ushauri ni nani? Watakuambia Edwin Mtei, mkwe wa Freeman Mbowe na Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
wenzetu wakenya walipofika hapo kabla ya katiba haijaazwa kutumika ilipitishwa tena kwenye kamati ya watu sita, watatu walitoka Kenya na watatu walitoka nje ya Kenya akiwemo koffi anani. wao waliipitia upya ile katiba kuangalia vifungu vinavyojibu maslahi ya wananchi sio uongozi uliopo, kwaiyo walipitia kila kifungu ndio hiyo katiba ya Kenya iliyopo
Hizi fix tu,kwa hyo 2025 hakuna kupiga kura au????
Mzee mbona Kama anaanza kutuchezea AKILI,kwamba tupo kalantin, mzee Wariba tafadhali usiingie kwenye mtogo huu, watz sio wajingaMh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Ni visingizio vya kuvuta muda tu hivyo!Mzee mbona Kama anaanza kutuchezea AKILI,kwamba tupo kalantin, mzee Wariba tafadhali usiingie kwenye mtogo huu, watz sio wajinga
Katiba ni Sasa, mbona kila anapoenda SSH Kuna mikusanyiko?
Au tuseme corona inaonekana kwenye katiba tu
Mzee Warioba asilete siasa na hana haja ya kumsemea Maza unless kwenye yale mazungumzo yao ndiyo alivyoambiwa.Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.
Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana
Source: BBC Dira ya Dunia!
Maccm ni majitu ya hovyo snNitashangaa CCM wakikubali hii kitu wakati wamesema Katiba Mpya sio kipaumbele chao
Mzee kadanganywamzee warioba tunakuheshimu sana, tunakuomba usijiingize kwenye mkondo huo.
Mzee wa Watu Nae kakubali kupigwa kambaNdiyo amempiga hiyo sound?
Na SENSA pia isimame kwa gonjwa hilo.Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Kura ya maoni kwa katiba ipi?Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.