Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Maupambavu mengine haya! Mbona uchaguzi mkuu tulipiga kura?Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Na mimi nilitaka kuuliza hili,maana naona kama Maza kachanginyikiwa hivi..ile sababu ya kujenga uchumi haipo tena, sasa amefichama kwenye corona?
Ulitaka Warioba akatae jibu la Rais? Uongozi na kuwa na Wazee ni hazina kubwa. Hiki ndicho inapingukiwa CHADEMA.
Ukiwauliza CHADEMA Wazee wenu wa chama mnaokwenda kuomba ushauri ni nani? Watakuambia Edwin Mtei, mkwe wa Freeman Mbowe na Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
johnthebaptist eti bwashee yana ukweli haya? Maana nimeona unamzungumzia Warioba muda si mrefu labda ulikuwa nae mnakula soga.
Na mimi nilitaka kuuliza hili,maana naona kama Maza kachanginyikiwa hivi
"rock down"_ndio nini?! Ni lock down!Kwani Kuna rock down Kama Uganda mpaka aseme changamoto ya corona
Mbona mwakaWaziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.
Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana
Source: BBC Dira ya Dunia!
Ni lock down!
Kweli mama alienda kumziba mdomo mzee japo hakuuziba wote.Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Kumbe ndio yale matembrzu ya juzi?Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Ni kweli. Kumbe juzi alienda kwa Warioba ili amlishe maneno ya kusema? Wiki ijayo ataenda kwa Butiku atamaliza kwa JeneraliWatanzania wanaosikiliza radio wanalishwa maandazi juu makubwa ndani yamejaa upepo!.
Yaani katiba mpya inasingiziwa ndg covid ila ngoja tufike kwenye uchaguzi wa viongozi wa kisiasa, hutasikia huyo covid anatajwa.
Hiyo lugha through mzee Joseph ni inaweza kuwa ya kilaghai kwa wasikilizaji ila jwa wachambuzi wa kina si rahisi kumdanganya!.
Hata sasa wanafanya mikutano ile ya katiba mpya ndio wanasema kuna ugaidi tishioYaani wanavyoogopa katiba mpya, mh! Unajua kabisa wezi wa kura zako ni wapi. Wakati Corona ipo hawakuigopa ikaondoka na watu na yule baba lao mashetani akaaga tarehe 17 March 2021. Sasa leo eti wanaogopa Corona. Katiba mpya ni lazima, warembue macho, wasirembue...
AiseeeeCcm nao watakushangaa ukiwashangaa kwani kubadilisha hawaruhusiwi
Nikikumbuka issue ya COVID 19 nacheka sana sanaKwani wapi na lini uliwahi kuiona ccm inayo simamia jambo kwa dhati?
Zee zima linashindwa kujua kauli za KIHUNI toka kwa Samia na MaCCM.lingekaa kimya tu. IdiotNi shughuli gani imesimama kwasababu ya Corona? Huyo mzee angekaa kimya kuliko kuleta sababu ya kihuni aliyoambiwa.