ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
My Take
Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DKw60yViNAt/?igsh=MWFoa3M1YW1jZHM3cQ==
Mbele wapi zaidi ya mi Tano tena?
Mbele wapi zaidi ya mi Tano tena?
Mkujeeeee mnikamatee na mkinikamata msiniuwe kimya kimyaa Bali mtangaze hadharin huyu n mojawapo aliyecomment
No reforms, no electionsNdugu zangu Watanzania,
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mheshimiwa Sana Stephen Wasira ametoa kauli nzito sana kwa wana CCM wote Nchini Kwote.
Soma hapa 👉 MITANO TENA NI KWA DK. SAMIA TU,
WENGINE SUBIRINI KUCHUJWA - WASIRA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, ‘Mitano Tena’ ni kwa mgombea urais, Dk. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza wake, Dk. Emmanuel Nchimbi, lakini wabunge na madiwani wasubiri kuchujwa kupitia vikao vya Chama.
Ameeleza hayo leo Juni 11, 2025 alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani kilichohusisha viongozi wa CCM Wilaya ya Nyasa, katika mji wa Mbamba Bay mkoani Ruvuma ambako anaendelea na ziara ya kuimarisha Chama.
“Niwaambie wana CCM wenzangu tunaposema mitano tena ni kwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa nafasi ya urais na mgombea mwenza wake Dk. Emmanuel Nchimbi lakini kwa wabunge na madiwani wasubiri mchujo ndani ya Chama na mwaka huu tumeongeza idadi ya wapiga kura. Kwa mfano hapa Nyasa walikuwa wapigakura za maoni 900 lakini sasa wako 1,300.”
Wasira alisema kupata wagombea safi ndani ya Chama wa udiwani na ubunge ni vema wakachaguliwa kwa utaratibu wa haki huku akisisitiza ‘mitano tena’ sio kwa watu wote ”Sio kila mtu ni mitano tena bali mitano tena ni kwa Rais Samia, wengine tunachujana.”
“Heshima ya wajumbe ni anayesikiliza watu walionyuma yake, ni kupiga kura kwa mtu ambaye wananchi wanamtaka na katika majina matatu ambayo yatapendekezwa kupitia kura za maoni atapatikana mmoja ambaye atakuwa diwani au mbunge kwa miaka mitano.
“Kuna diwani amesema hapa kuwa wamefanya kazi nzuri na wanaomba ruhusa waendelee. Hakuna mtu anakataa ruksa lakini ruhusa haitolewi na mimi bali inatolewa na wananchi waliokupigia kura. Mimi nikimaliza (ziara) naondoka lakini wapigakura wanabaki na ndio watasema diwani amefanya kazi nzuri tunataka arudi na wale wapigakura wa kata yako watasema hivyo ndivyo.”
Katika ziara hiyo Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amekagua maendeeo ya Ujenzi wa bandari ya Mbambabay iliyoko wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambayo Serikali imepeleka fedha ili kuiboresha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
huna tofauti na haya makasha ya naziNdugu zangu Watanzania,