Pre GE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yeye yupo toka enzi za mwalimu, walishindwa nini kuwapa wananchi chakula?

Ila veggies mnaboa sana mnataka tumtukane babu tuonekane hatuna adabu..!! Mxieeeeww
Enzi za Mwalimu Tanzania ilikuwa na idadi ya watu wa ngapi na hivi leo tuko wangapi ?!
Enzi za mwalimu kwenye mkoa wako barabara za lami zilikiwa kilometa ngapi na leo zipo kilometa ngapi?!
Enzi za mwalimu kwenye wilaya yako palikuwa na shule za sekondari ngapi na leo zipo sekondari ngapi?!
Enzi za mwalimu Tanzania nzima ilikuwa na vyuo vikuu vingapi na Leo hii vipo vingapi?!
Enzi za mwalimu nchi nzima tulikuwa na vituo vya radio vingapi na leo hii vipo vingapi?
Enzi za mwalimu nchi nzima tulikuwa na vituo vya television vingapi na Leo hii vipo vingapi?!
Enzi za mwalimu nchi nzima kulikuwa na hospitali za rufaa ngapi na Leo hii tunazo ngapi?!
Enzi za mwalimu palikuwa na vyama vya upinzani vingapi na leo vyama viko vingapi?!
CCM IMELETA MAENDELEO MAKUBWA SANA!
CCM HOYYEEEEEE!!
 
CCM wametuletea joka la kibisa, mwili na akili choka mbaya
 
PUMBAVU 😑
Peleka uchawa wako huko.!!
Hizo hospital zina dawa? Gloves tu hamna.
Hao wahitimu wa vyuo wana kazi?
Hivyo vyama vya upinzani vikiandamana kwann mnawapelekea polisi kuwapiga? Je, sio haki yao kuandamana??

Nyie km kweli wanaume leteni katiba mpya na wekeni tume huru ya uchaguzi muone wananchi tutakavyowaaibisha..!! Mxieeeeww
 
Kwa maneno haya Tyson hatoboi....haelewi hali halisi...hii nafasi hakufaa kwa wakati tulionao..
 
Mambo mengine bwana unaweza Cheka Halafu usijue unacheka Nini.Unawezaje kuwabambikia watu vipaumbele ambavyo watu hawajakwambia?
1:Kama suala la njaa Mzee Wasira amekuwa kwenye system Tangu lini? Mbona hakushauri namna ya kuondoa njaa?
2:Kama katiba siyo muhimu kwanini IPO Sasa?
3:Maoni ameyapata wapi mpka akaja na hitimisho kuwa wananchi wanatatizo la njaa?
4:Kama Katiba siyo Changamoto ya Wananchi mbona inabezwa? Kwani wakipewa Katiba njaa haiondoki? Au Katiba inamzuia kuondoa njaa?
Shida kweliiiiii!
 
Atuambie kama wameweza kuleta Maendeleo yote hayo,Sasa kuleta Katiba Mpya kwani bei Gani?Si walete TU watu waridhike? Mbonavikwazo vingi?
 
Miaka 60 ya uhuru bado Viongozi wa CCM wanaimba mambo ya Njaa na madawa Hospitalini?. Trump yuko sahihi.
 
Sasa CCM imeweza yote hayo inashindwaje kuleta Katiba?
 
Utaya wa kufa njaa upo,ila ipatikane katiba mupya.
 
Miaka 64 baada ya Uhuru bado anaongelea njaa. Hii aibu sana.
 
Hiyo njaa imesababishwa na nani?Nchi inaongozwa na nani?
Na kwa nini wawe na njaa? Miaka 60+ wao kama chama Dora hawajawahi kuwa na mikakati ya kuiondoa hiyo njaa zaidi ya kuizidisha
 
Kama kwa miaka 63 wewe na ccm yako mmeshindwa kutatua shida (njaa) za wananchi mlipokuwa vijana, mnafikiri kwa umri wenu huu (90 yo)ndiyo mtaweza sasa hivi?
 
Kwa nini walipelekwa magerezani tena wa chama kimoja tu ? Kwa hiyo bila katiba mpya njaa itakwisha na Katiba mpya ndiyo italeta njaa. Miaka 64 ya uhuru tuanalilia vyoo mashuleni. Tumeuwa viwanda vyote vya Nyerere, hakuna ajira kwa millions ya vijana. Hakuna maji, madaraja maeneo mengine hakuna. Hakuna Bima ya afya kwa raia. Ni kweli ilivyo kuwa 1961 sivyo ilivyo 2025. Kuna hatua japo kidogo sana. Lakini kwa rasilimali lukuki tulizo nazo hatukupaswa kuogolea katika dampo la umaskini jinsi tulivyo. Majibu ya mzee wangu Wasira ni majibu mepesi.
 
Nchi zilizowndelea msosi sio ishue, ye anawaza eti watanzania wanataka chakula...Personally huwa siwaelewi watu waliopewa dhamana ya kuendesha hii nchi wana upepo kichwani yani wakikaa kimya huwezi kujua, wakiongea sentence moja ndio unakuja kugundua kuna tatizo sehemu..
 
Narudia huyu mzee mbona anaonewa hivi??? Au wamemtoa nini??? Kwa umri wake angepaswa alee wajukuu tu. Watu wataongelea AI ye atasema Chakula...πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Msimcheke huyu Kijana Wasira ..... Huyo ndio think-tank wa CCM walioona Baada ya Mzee Kinana wampe huyu Kijana atawavusha.
 
Chadema mnapoishiwa hoja MATUSI yanakuwa ndiyo HOJA YENU MBADALA ila mimi naelekea kwenye hoja Moja kwa moja!
Maendeleo ni mchakato! Hatua kwa hatua! Hata ROMA HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA!
Wewe ulitaka serikali ilete madawa kabla ya kujenga hospitali?! Au ilete ajira kabla ya kusomesha watu ?!
Je unadhani wanaohitimu katika vyuo vikuu vya nchi zilizoendelea kama UK, USA, China, Japan na India wote wanaajiriwa na serikali?! Tatizo la ajira ni tatizo la kimataifa na hakuna nchi iliyowahi kuajiri wahitimu wake wote kila mwaka!.
Ukiona ofisi za serikali zinafunguliwa kila asubuhi na kufungwa kila jioni basi humo maofisini Kuna watu walioajiriwa na serikali na ikiwa wewe hujaajiriwa haimaanishi kuwa serikali haitoi ajira.!
TATIZO LA MADAWA NA VIFAA TIBA SIYO TATIZO LA KITAIFA!.
Ukosefu wa madawa na vifaa tiba hutokea baadhi ya maeneo kwa baadhi ya nyakati.! Mwezi uliopita nilikuwa Tanga nimeenda hospital na nimepata vipimo vyote na dawa zote nimepata. Kwa sasa nipo Moshi mjini.
Juzi nimeenda hospitali na vipimo vyote nimepata na dawa zote!
TATIZO LA D'SLAAM ni msongamano wa watu mahospitalini unaotokana na wingi wa watu katika jiji hilo hali inayopelekea watumishi kuzidiwa na kutoweza fanya mawasiliano na bohari ya dawa MSD kwa ajili ya kuleta dawa na vifaatiba vingine ndani ya muda muafaka.
Inapotokea hospitali ya Temeke kwa mfano haina baadhi ya dawa au baadhi ya VIFAA tiba haimaanishi kwamba ndani ya muda huo D'SLAAM yote au nchi yote haina madawa na VIFAA tiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…