Mzee wetu Mwandambo ana ujumbe kwa Jeshi letu la Wananchi

Mi bado naamini jeshi letu ni jeshi imara ila kilichokosekana ni organisation. Litarudi likiwa imara zaidi...
Kwenye saikolojia kuna kitu kinaitwa "cognitive dissonance".

Cognigive dissonance ni hali inayotokea pale ambapo unagundua kuwa jambo uliloliamini kwa nuda nrefu si kweli, ukichoamini ni uonho halafu ukweli ni tofauti kabisa.

Watu wengi wakifikia haki hii, reaction yao ni kutoamini ukweli hata ukweli ukiwa wazi kabisa.

Mfano, mtu mzima wa miaka 50 aliyeamini kuwa fulani ni baba yake mzazi, akipewa ushahidi hata wa DNA kuwa yule aliyefikiri ni baba yake wa kibaiolojia si baba yake, huyu mtoto anaweza asiamini hata huo ushahidi wa DNA.

Kwa jivho, hii haki uako mimi naiona ni kama hiuo cognigive dissonanve ya kisaikolojia.

Ukweli kwamba tuna Jeshibla Wananchi Tanzania, linatakiwa kulinda nchi na mipaka yake, halafu kuna mauaji ya kupangwa hivi, maana yake ni kwamba jeshi limeshindwa vibaya sana.

Limeshindwa kulinda mipaka silaha zisiingie bila udhibiti.

Limeshindwa kuwa na military intelligence kuhusu mipango ya kuua Watanzania wasio na hatia.

Yani sasa hivi Tanzania pameonekana ni sehemu inayoweza kuvamiwa kirahisi kabisa.
 
Hivi jeshi la wananchi walilindaje wananchi bila kupiga risasi lile jamaa lenye jezi ya yanga! yaani vile walikuwana 🪖 na mitutu kumbe hamna kitu yaani hata raia wote wangekufa jeshi la wananchi lilikiwa halina mpango wa kutumia bunduki zake kulinda raia
 
Kwanza kabisa watu walitakiwa kurudi nyuma na kuchunguza namna hao vijana wanavyopata kazi huko jeshini.Wangelielewa hilo wangeongeza na kauli ya Polepole kwamba wnamtandao wana watu wao kila mahali pa maamuzi ndani ya nchi hii

Kiranga
 
Zaidi,

Ilikuwaje jeshi lenye military intelligence halikujua hili jambo?
 
Kwanza kabisa watu walitakiwa kurudi nyuma na kuchunguza namna hao vijana wanavyopata kazi huko jeshini.Wangelielewa hilo wangeongeza na kauli ya Polepole kwamba wnamtandao wana watu wao kila mahali pa maamuzi ndani ya nchi hii

Kiranga
Mimi nililisema hili hapa watu walivyokuwa wanalishobokea jeshi.

Lakini sikio la kufa halisikii dawa.
 
Hahahaa.

Nyie ndo mnayajua haya leo kuhusu hilo jeshi?

I’ve been telling y’all all this time that we don’t really have a military to write home about.

Nimekuwa nikiwaambia kwa muda mrefu sasa kuwa huyo CDF ni kilaza.

Sihitaji tena kusema mengi maana mmejionea wenyewe sasa.

No guy test my discernment…..
 
Zaidi,

Ilikuwaje jeshi lenye military intelligence halikujua hili jambo?
Angalia huu mpangilio, kisha ruhusu akili yako kufikiri pasina kuweka mipaka..kisha jiulize, vijana waandamanaji walikuwa wanapinga uongozi wa mtu anayefanana na hawa waliotakiwa kulinda waandamanaji, ingewezekana..?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa
6. Chief of Defence intelligence Mbaraka Mkeremy
7. Chief of Staff Salum Haji Othman
Nadhani mkakati unaanzia hapa kwa kuwapanga hawa km ilivyo hivi, watu wa majina ya aina hii sijawahi kuwaamini kwa lolote!
 
Kabla ya kulilaumu jeshi nawalaumu watumishi wa serikali mliojifungia ndani,mmeridhika na mishahara yenu ya kulipia mikopo,mnawaona vijana waliotoka ni kama wahuni wakati wanapigania maslahi yenu.
Waliotoka kuna wengine au ni haohao waliovunja vibanda vya walimu vya kuuza sukari na chumvi na wakawaibia
 
Kuna kitu umeniamsha toka usingizini.
 
Nimegundua hata wanajeshi wana kauoga na kaukilaza cha kitanganyika.

Vile wanavyoajiriwa na mifumo inayowadhibiti vinazidi kuongeza na kukita uzito juu ya ukilaza na ujinga wao wa Kitanganyika.

Wamebaki kama kunguru wa unguja, hawawezi kufanya lolote mpaka wapokee amri kutoka kwa bosi wao (cha ajabu bosi mwenyewe unakuta ni mwiguRu / mwiguLu / whatever).

Wamefungwa minyororo ya kisiasa hawafurukuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…