Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Sawa, katiba yetu mbovu.Katiba hii unayoisema inatoa possibility hiyo unayoisema kwa mlango mdogo kisha at the same time inaweka mazingira magumu haki au process ya uwajibikaji kupenya katika mlango huo. Na hiyo inatokana na fact kwamba huwezi kumshitaki rais hata akifanya genocide dhidi ya wananchi. Inalazimisha watu waliomo bungeni watokane na vyama vya siasa ambapo kwenye vyama wanatengeneza structure ambazo zinalazimisha maslahi ya chama/kundi yawe mbele ya maslahi ya Taifa kwa hiyo ni vigumu hata hilo bunge kumuwajibisha rais.
Katiba ilitakiwa kwenye mambo ya msingi isiwe na zile clawback clauses, ambapo unakuta haki inatolewa kwa upande wa kulia halafu katiba hiyohiyo inatoa room kuzisabotage haki hizo au inazitwaa kwa mkono wa kushoto.
Katika nchi ya watu milioni 70, na rais aliyeruhusu unyama hivi, anakosekana hata mtu mmoja wa kumpiga risasi huyo rais?
Hili nalo ni tatizo la katiba mbovu?