Hili si tatizo la kikatiba.
Ni tatizo la kisiasa.
Katiba ina njia za kuiwajibisha serikali.
Bunhe lina mchakato wa kumpigia kura ya kutokiwa na imani naye Waziri Mkuu.
Binge lina namna ya kumuondoa rais kwa impeachment.
Lakini wabunhe wote machawa, sifa ya kuwa mbunge ni uchawa. Na rais ndiye mwenyekiti wa CCM anapanga nani awe mbunge na nani akatwe.
Sasa hapo hata hizo namna za kumtoa rais haziwezi kutumika.
Kwa sababu bunge halina uburu, Spika wa Bunge, mtu amnaue kazi yake ni kuihoji serikaki, akihoji tu anaishia kujiuzulu.
Na anajiuzulu bila hata protest.
Hiki ni tatizo la siasa, tatizo la utamaduni.
Katiba yetu hii hii ambayo tunataka kuibadikisha, kama kungekuwa na mfumo mzuri wa siasa na utamaduni mzuri, inheweza kutupa mambo menhi sana mazuri.