Mzee wetu Mwandambo ana ujumbe kwa Jeshi letu la Wananchi

Mimi nililisema hili hapa watu walivyokuwa wanalishobokea jeshi.

Lakini sikio la kufa halisikii dawa.
Sifa za kujiunga na jeshi sio tena zile walizotumia baada ya nchi kupata uhuru

Mzee Nyerere ametuqchia katiba ngumu sana ,vyombo vyote vimefungamana. Wanachi wamepeqa uwezo wakuiweka serikali madarakani lakini katiba haiwapi uwezo wa kuiwajibisha ikikosea
 
Daah ndio maana kumbe
 
Kama kweli nikijiridhisha mseveni aliingiza wanajeshi wakauwa watu na kurudi kwao huku nasisi tunasema tuna jeshi la wananchi ntarudi kutoa maoni yangu
 
ACHENI UDİNİ TUTAAZIDI KUMALIZANA , İLİ TUMNUFAISHE MKENYA, FURAHA YA MKENYA SAIVI HAINA KIFAANI, LENGO LAO LIMETIMIA KUUVURUGA UCHUMI WA TANZANIA KUSUDI
 
Hapa Duniani, Hasa kwa hizi third world countries, usipolinda uhai wako wewe mwenyewe kwanza, Usitegemee kuna Jeshi la kulinda uhai wako.
Ni kweli, sasa kwa mfano ukitoa vita vya Idd Amini ambapo Wanajeshi waliwalinda Wahaya na Wanyambo wasiuawe na kuporwa ardhi yao

Je JWTZ imewahi kutulinda na vita ipi? Kwanza kuna vita gani TZ, nchi ambayo Wanajeshi wanaanza kazi wanalipwa mishahara yaani kodi zetu mpaka wanastaafu na vitambi vikubwa hawajawahi pigana vita yoyote🤣
 
Jeshi linalodai kuwa miongoni mwa majukumu yake ni kulinda katiba ya nchi lakini cha ajabu jeshi hilo linalinda utawala uliopatikana kihuni kwa uchaguzi feki. Sasa hapo sijui ni katiba gani jeshi hili linalinda wakati katiba inasema wazi kuwa mamlaka ya utawala inabidi yatokane na ridhaa ya wananchi.

Hili jeshi lingekuwa la wananchi kweli basi lingesimama kidete ili uongozi wa nchi utokane na ridhaa ya wananchi kwelikweli.
 
Nilikubishia sana kwenye uzi wa captain Tesha leo hii naamini
 
ACHENI UDİNİ TUTAAZIDI KUMALIZANA , İLİ TUMNUFAISHE MKENYA, FURAHA YA MKENYA SAIVI HAINA KIFAANI, LENGO LAO LIMETIMIA KUUVURUGA UCHUMI WA TANZANIA KUSUDI
..ili upone nenda ukatibu chanzo cha tatizo, usijishuku na hatari haziwezi kukusaidia, hivyo ilivyo siyo udini? mkenya wa wapi matatizo unayatengeneza mwenyewe.
 
Mkuu umeandika ukweli tupu
 
The whole system ni ‘takataka’
Tuliuliza sana mbona Jeshi liko kimya. Post zetu walikuwa wanafuta
Kodi zibaki kwa mwenye chake kama ni mkulima abaki nayo tuone mishahara itatoka wapi.
Huyu tesha sijui test kulikuwa na goofy feeling toka mwanzo.
Jeshi limetuuza mazima!

Tanganyika tuukane muungano fake
JK umeiuza Tanganyika kwa vipande vya fedha. Tuombe uzima tuuuuuuuu iko siku mtatujibu tuuuuuu

WaTanganyika waliopoteza maisha kudai haki! Tunawaheshimu, Tunawaenzi na Tutaikomboa Tanganyika ni ahadi Yetu kwenu wapendwa wetu.

Tuonane paradiso!
Mpumzike kwa Amani!🙏🏾
 
Alishawambia yeye ndo Amir jeshi wa majeshi yote makubwa makubwa nchini Malawi, mkadhan masihara...😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…