Mzee wetu Mwandambo ana ujumbe kwa Jeshi letu la Wananchi

Haihitaji utaalam wa mambo ya kijeshi kujua ubovu wetu. Inahitaji kujua tu aina ya vijana tunaowasukumiza huko jeshini ili wapate cha kuweka kinywani, pia mfumo mzima wa uajiri/usajili wa wanajeshi.
 
Udini unakusumbuwa wewe nyumbu!! Halafu eti nyinyi mpewe nchi kuongoza hilo taifa litakuwa la nyumbu watupu.
 
Mkakati ulikuwa na kuondoa zile kanda maalum kwenye top ya hilo jeshi
 
Haihitaji utaalam wa mambo ya kijeshi kujua ubovu wetu. Inahitaji kujua tu aina ya vijana tunaowasukumiza huko jeshini ili wapate cha kuweka kinywani, pia mfumo mzima wa uajiri/usajili wa wanajeshi.
....hata upandishwaji na upewaji vyeo jeshini ni wa ovyo!
 
Hili si tatizo la kikatiba.

Ni tatizo la kisiasa.

Katiba ina njia za kuiwajibisha serikali.

Bunge lina mchakato wa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye Waziri Mkuu.

Bunge lina namna ya kumuondoa rais kwa impeachment.

Lakini wabunge wote machawa, sifa ya kuwa mbunge ni uchawa. Na rais ndiye mwenyekiti wa CCM anapanga nani awe mbunge na nani akatwe.

Sasa hapo hata hizo namna za kumtoa rais haziwezi kutumika.

Kwa sababu bunge halina uhuru, Spika wa Bunge, mtu ambaye kazi yake ni kuihoji serikali, akihoji tu anaishia kujiuzulu.

Na anajiuzulu bila hata protest.

Hili ni tatizo la siasa, tatizo la utamaduni.

Katiba yetu hii hii ambayo tunataka kuibadilisha, kama kungekuwa na mfumo mzuri wa siasa na utamaduni mzuri, ingeweza kutupa mambo mengi sana mazuri.
 
Hii ndo JWTZ?
 
 
Kwa lineup hii, labda askari wa chini tu wajiongeze (which is almost always the case anyway)!
 
Cc Kubwjing

Jeshi ambalo ukijaribu kumgusa raia wao lazima wakuwashie moto ni Marekani.

Marekani wapo makini sana kwenye kulinda uhai wa raia wao.

This is the 6-man team of United States Navy Seals that silently came to Nigeria in October 2020, landed in bush where terrorists were holding an American man hostage after he was kidnapped, wiped out the terrorists, rescued the American man and took him home.

The man's name is Philip Walton.
He is a missionary.

Nobody knew about the operation, not Nigeria Security Forces, not DSS, not National security Adviser.

They all learnt about it in the news after the operation was completed!
 
mfumo gani wa siasa mzuri km katiba iko outdated, toa mfano..unaweza badilisha utamaduni wa watu kufanyiana hila bila katiba inayo-address vile tulivyo? hivi nyinyi mnaielewa kweli jamii ya watanzania ilivyo kwa mtu mmoja mmoja? vingi mnaongea ni nadharia tu, havina uhalisia kabisa! ni kuzunguka zunguka..mambo yenye ukweli na mifano dhahiri yapo lkn mtu anakwepa kwepa analeta non-issues! na unafiki huu ndio sumu inaangamiza hii nchi..! miaka zaidi ya 60 hutarajii mtu wa umri huo awe mnafiki..! akiwa mnafiki lipo tatizo kubwa linalomfanya awe mnafiki..hilo la unafiki ni matokeo!
 
BICHWA KOMWE -
 
Kabla ya kulilaumu jeshi nawalaumu watumishi wa serikali mliojifungia ndani,mmeridhika na mishahara yenu ya kulipia mikopo,mnawaona vijana waliotoka ni kama wahuni wakati wanapigania maslahi yenu.
Hapana bosi. Yaani hili jambo la Tanganyika ni la wote mpaka wafanyakazi na wana CCM.
 
Hapana bosi. Yaani hili jambo la Tanganyika ni la wote mpaka wafanyakazi na wana CCM.
Jana nimekuuliza tutumie mbinu gani ukamyuti.

Wewe najua una kaujuzi cha kijasusi. Usitubanie mwaga hapa tuingie kazini.

Tutashiriki hata kwa kudhibiti kikamilifu propaganda uchwara za mitandaoni.
 
Tumejua polisi wana nguvu sana hii nchi kushinda JW, maana wana AK47 na risasi za kutosha wakati wowote wanapozihitaji na kama tulivyoona walivyokuwa wanachezea risasi kupiga piga hovyo...
JW unakuta kambi nzima ina risasi 50 ambazo ni tano tano kwa kila AK 47 kwa ma MP tu....
 
Zaidi,

Ilikuwaje jeshi lenye military intelligence halikujua hili jambo?
Jeshi lilijua,jeshi ni chombo cha dola,jeshi lilijua kuna uchaguzi, jeshi lilijua kilichoitwa maandamano ni vurugu za kuzuwia uchaguzi(kukinukisha pasikalike),jeshi lilijua yale ni mapinduzi ya kiraia,cdf aliita waandamanaji ni wahalifu na kweli walikua wahalifu
 
Reactions: UCD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…