Mzee wetu Mwandambo ana ujumbe kwa Jeshi letu la Wananchi

Hao walioua watu ni nani?

Na imekuwaje wakaua raia wasio na hatia majumbani mwao?

Wao ndio jeshi na wao?

Kama ni jeshi kwa nini wameua raia wasio na hatia ambao walikuwa majumbani mwao na sehemu nyingine mbali kabisa na maandamano?

Kama si wanajeshi, imekuwaje wanajeshi wameshindwa kuzuia mauaji haya? Imekuwaje hawajazuia mauaji yaliyokuwa coordinated nchi nzima kuanzia Dar mpaka Sumbawanga huko?
 
Kuua watu majumbani ni story za kuzua,dar mpaka sumbawanga kulikua na uhalifu,nakubali palikua na stray bullets kwa cases za master tindwa wa cmg na sharif majini,lakini kudai polisi waliingia majumbani na kuanza kupiga watu risasi ni uwongo,labda kama muhalifu alikimbilia humo
 
Wewe kweli uko uninformed hivi, ni chawa tu au bado una denial ya cognitive dissonance?

Hujui kuwa watu wamewindwa mpaka majumbani hata baada ya videos zote zile?

Watu waliouawa Mwanza Mji Mwema wakati wanaangalia mpira nao hujasikia?

How can you be this insensitive and uninformed while you have the internet?

Unaelewa kikichofanyika Tanzania ni crimes against humanity si isaue ya Tanzania tu?

Unaelewa kuwa hii habari inaongelewa dunia nzima kwa mshangao?

Unaelewa kiwa hata Makaburu wa South Africa hawakuwahi kuua watu hivi?
 
Wewe kweli uko uninformed hivi, ni chawa tu au bado una denial ya cognitive dissonance?

Hujui kuwa watu wamewindwa mpaka majumbani hata baada ya videos zote zile?

Watu waliouawa Mwanza Mji Mwema wakati wanaangalia mpira nao hujasikia?
Achana nalo hilo,we jukwaani hapa ni mgeni ?Hizo account za kuzalisha chakula cha kuku mashudu humu JF
 
Wewe kweli uko uninformed hivi, ni chawa tu au bado una denial ya cognitive dissonance?

Hujui kuwa watu wamewindwa mpaka majumbani hata baada ya videos zote zile?

Watu waliouawa Mwanza Mji Mwema wakati wanaangalia mpira nao hujasikia?
Kuwinda ni selective,maana yake kuna mtu/kitu specific unakifuatilia/taka,ingekua walikua wakiingia kila nyumba wanapiga risasi kweli,lakini muhalifu kachoma sheli,kaiba mitungi ya gesi,kakimbilia ndani,huyo atashughulikiwa
Kachoma ofisi za serikali kakimbilia Banda la mpira,atashughulikiwa
 
Hakuna haja ya kujibizana nawe kwa sababu huelewi kuwa hata muhalifu anatakiwa ashikwe na kupelekwa mahakamani si kupigwa risasi.

Wewe mpaka upigwe risasi kama yule Shehe Majini chawa wa Samia ndiyo utaelewa huu ni ushenzi.

Nakupeleka ignore list, sitaona unavjoandika, kwa sababu wewe ni mshenzi na muuaji hujastaarabika kiwango cha kuweza kijibizana na mimi.
 
Nyinyi Mnavyouza Nchi Sio Uhalifu? Mmeua watoto wetu wasio na hatia sio uhalifu?
Kodi Zetu Mnatapanya Mnatuona Wangese Sana Ipo Siku Tutafika Huko Ikulu. Mwanaume Anazaliwa Siku Moja na Kufa Siku Moja. Acha Umalaya
 
We kweli ni fala TAHIRA
 

wengi wanakuwa wagumu kuelewa hilo, wamekaririshwa kuwa katiba mpya ndio itabadilisha kila kitu kwenye nchi. while kiuhalisia tatizo kubwa zaidi ni sisi wenyewe na mifumo yetu ya maisha.
 
wengi wanakuwa wagumu kuelewa hilo, wamekaririshwa kuwa katiba mpya ndio itabadilisha kila kitu kwenye nchi. while kiuhalisia tatizo kubwa zaidi ni sisi wenyewe na mifumo yetu ya maisha.
Naam,

Shukurani kwa kuelewa mkuu.

Kuna haki nyingi za kikatiba tunazo tayafi matatizo ni siasa na utamaduni tu.
 
Mbna wote ni waislamu? Duuuh
 
Nyinyi Mnavyouza Nchi Sio Uhalifu? Mmeua watoto wetu wasio na hatia sio uhalifu?
Kodi Zetu Mnatapanya Mnatuona Wangese Sana Ipo Siku Tutafika Huko Ikulu. Mwanaume Anazaliwa Siku Moja na Kufa Siku Moja. Acha Umalaya
Kodi zimetapanywa wapi, acheni kujijaza chuki
 
Nisipojibizana na wewe ntakosa vitamin d?
 
Wewe endelea kubeba mabox huko kwa mabeberu ya TZ huyawezi.
 

Katiba hii unayoisema inatoa possibility hiyo unayoisema kwa mlango mdogo kisha at the same time inaweka mazingira magumu haki au process ya uwajibikaji kupenya katika mlango huo. Na hiyo inatokana na fact kwamba huwezi kumshitaki rais hata akifanya genocide dhidi ya wananchi. Inalazimisha watu waliomo bungeni watokane na vyama vya siasa ambapo kwenye vyama wanatengeneza structure ambazo zinalazimisha maslahi ya chama/kundi yawe mbele ya maslahi ya Taifa kwa hiyo ni vigumu hata hilo bunge kumuwajibisha rais.

Katiba ilitakiwa kwenye mambo ya msingi isiwe na zile clawback clauses, ambapo unakuta haki inatolewa kwa upande wa kulia halafu katiba hiyohiyo inatoa room kuzisabotage haki hizo au inazitwaa kwa mkono wa kushoto.
 
Zaidi,

Ilikuwaje jeshi lenye military intelligence halikujua hili jambo?
Na taarifa zilitoka mapema kwamba kuna maaskari wa kigeni wameingizwa kinyemela.

Mimi ninamini na wao ni part of the plan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…