Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Hahahah balaa watu na mNeno aisee...ila lisenwalo lipo....lakinii kicheko tu sina namna
 
Kwani ALAMBA ni dhambi? Sasa akimkataa shetani ayakatae na mambo yake yote...zile fedha alizopata kwa dhambi na azigawe kwa maskini, achukue kiroba akae njia panda achangishe fedha za ujenzi wa msikiti hapo ndio nitamuamini.

Isije ikawa anataka kuoa mtoto wa imamu ndio anajifanyisha
 
Kha ametajirika anaona taarabu haina deal,akifilisika asirudi tena kwenye gemu,tatizo ili nyimbo zao ziheat wanashinda kwanza kwa waganga ,ndo maana analia,i thank God huwa sisikilizi ma nyimbo yao ambayo mpaka wakazindikwe kwanza ndo watoe

Mbona kina Koffi na Fally Ipupa wanafanya ushirikina mkuubwa mno na unasikiliza?
 
Back
Top Bottom