Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Analia nini sasa???

IMG_3139.JPG
 
Mbona kina Koffi na Fally Ipupa wanafanya ushirikina mkuubwa mno na unasikiliza?
Binafsi huwa sisikilizi,labda zikiwa zinapigwa mitaani.Masikio hayana pazia,fally sijawahi sikia nyimbo yake hata moja,Koffi nilisikia shamkwale na ile prends la photo sijui selfie.
 
Arudishe na mali zote alizochuma kwa taarabu, abaki kama alivyozaliwa aanze upya tujue kweli sio mnafiki
 
Pesa na mali zote alizopata kwa kazi hii azigawe kwa wenye uhitaji ili atafute pesa za halali zisizotokana na dhambi.
 
Kwa hiyo vile vitegauchumi pale pugu kajiungeni alivyojipatia kwenye huo mziki atavifanyaje? Atavigawa ama?

Sio tu kuacha mziki....bali pia na mali zote alizochuma kupitia huo mziki ambao kwake umekua haramu agawe....ili awe msafi zaidi.......

Arudishe na mali zote alizochuma kwa taarabu, abaki kama alivyozaliwa aanze upya tujue kweli sio mnafiki

Pesa na mali zote alizopata kwa kazi hii azigawe kwa wenye uhitaji ili atafute pesa za halali zisizotokana na dhambi.

Vipi kuhusu mali alizochuma kutokana na muziki nazo amezitoa kwa yatima na wasiojiweza au hilo amesahau?

Kwani ALAMBA ni dhambi? Sasa akimkataa shetani ayakatae na mambo yake yote...zile fedha alizopata kwa dhambi na azigawe kwa maskini, achukue kiroba akae njia panda achangishe fedha za ujenzi wa msikiti hapo ndio nitamuamini.

Isije ikawa anataka kuoa mtoto wa imamu ndio anajifanyisha

Na pesa na utajiri wote aliupata kutokana na kazi hiyo ni HARAMU kwa hiyo vyote avitupilie mbali.
Kama Imani yake ina Mungu wa kweli,Huyo Mungu huondoa magugu taratibu shambani asije haribu na ngano pamoja hivyo vyote vilivyochumwa katika anasa/haramu vitaisha na vya halali vitabaki,tusubiri tutashuhudia hapa,Mungu sio dikteta kwamba hakupi muda wa toba kamili na malipizi
 
Hakuna kitu, huo ni unafiki au kuna hofu imemuingia maishani, nani aliwahi kumuona Mungu?
 
Back
Top Bottom