Muhimu sana hili....wasiwazeeshe wanetu wakati bado wanahitaji kukua.Kuna nini kinachowazuia kuwaruhusu watoto kubeba madaftari ya vipindi vya siku hiyo tu?
Na kama ratiba hubadilika, kwa nini wanafunzi wasipewe taarifa mapema ili wasibebe mzigo mkubwa usio wa lazima?
Walimu ni tatizo wanafosi WANAFUNZI kwenda na madaftari hata kama hawana vipindi siku hiyo pia ni waingiliaji wa vipindi akiona mwalimu flani hayupo anataka kufundisha somo lake kwenye kipindi cha mwenzieWadau wote wa Wajamvini habari za muda huu
Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na vitabu vingi. Hali hii hunisikitisha hasa nikifikiria umri wao mdogo na namna wanavyobeba mizigo hiyo kwenye mabega yao.
Nauliza:
1. Kwa kawaida, hawa wanafunzi huwa na vipindi vingapi kwa siku hadi kulazimika kubeba madaftari mengi kiasi hiki?
2. Je, mzigo huu mkubwa wa kila siku hauwezi kusababisha matatizo ya mgongo au athari nyingine za kiafya kwa muda mrefu?
3. Kuna suluhisho lolote ambalo shule, wazazi, au serikali wangeweza kulifanyia kazi ili kupunguza mzigo huu kwa wanafunzi?
Na kama kuna walimu humu Jamvini, naomba mtupatie mwanga kidogo:
Kwa siku huwa mnafudisha vipindi vingapi?
Kuna nini kinachowazuia kuwaruhusu watoto kubeba madaftari ya vipindi vya siku hiyo tu?
Na kama ratiba hubadilika, kwa nini wanafunzi wasipewe taarifa mapema ili wasibebe mzigo mkubwa usio wa lazima?
Ni jambo dogo lakini linaweza kuwa na athari kubwa kwa maisha ya watoto wetu hapo baadae.
Noma sana mwanangu unakuta mtoto wa darasa la nne amebeba mzigo wa madafatri mpaka unajiuliza kabeba daftari za shule nzimaMuhimu sana hili....wasiwazeeshe wanetu wakati bado wanahitaji kukua.
Ndo ivyo tushakaririshwa ElimuElimu ya kikoloni iliyokosa ubunifu mwananfunzi anabidi kusoma masomo matatu tu Hesabu , science na lugha .
Akielewa hayo masomo vizuri mambo yanayobaki anakuwa anajitafutia mwenyewe
Umenikumbusha mbali kweli enzi izo kibegi changu cha sport kilikua na madaftari manne ya kasuku 😂Nashindwa kuelewa sikuhizi watoto wanafundishwa vitu gani maana mabegi yao ukiyaangalia hadi unawaonea huruma. Enzi tunaenda shule na vibegi vya sport sijawahi kujaza kile kimfuko ila kwa wanafunzi wa sasa na mzigo wa madaftari inawezekana akajaza hata vi spoti vi nne
Umezawaliwa mwaga gani mkuu?Wadau wote wa Wajamvini habari za muda huu
Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na vitabu vingi. Hali hii hunisikitisha hasa nikifikiria umri wao mdogo na namna wanavyobeba mizigo hiyo kwenye mabega yao.
Nauliza:
1. Kwa kawaida, hawa wanafunzi huwa na vipindi vingapi kwa siku hadi kulazimika kubeba madaftari mengi kiasi hiki?
2. Je, mzigo huu mkubwa wa kila siku hauwezi kusababisha matatizo ya mgongo au athari nyingine za kiafya kwa muda mrefu?
3. Kuna suluhisho lolote ambalo shule, wazazi, au serikali wangeweza kulifanyia kazi ili kupunguza mzigo huu kwa wanafunzi?
Na kama kuna walimu humu Jamvini, naomba mtupatie mwanga kidogo:
Kwa siku huwa mnafudisha vipindi vingapi?
Kuna nini kinachowazuia kuwaruhusu watoto kubeba madaftari ya vipindi vya siku hiyo tu?
Na kama ratiba hubadilika, kwa nini wanafunzi wasipewe taarifa mapema ili wasibebe mzigo mkubwa usio wa lazima?
Ni jambo dogo lakini linaweza kuwa na athari kubwa kwa maisha ya watoto wetu hapo baadae.
Enzi zetu, ilikuwa kawaida .. sema gen z na kizazi cha akili mnemba kitaleta tabu sanaWanaandaliwa kuingia kozi za ukomando wa kubeba mabegi na kuvunja matofari yasiyo na uuwiano bora wa mchanga na saruji.
Hii ni kutofuata ratiba ingependeza hata kama mwalimu hayupo wajisomee ilo,somo sio kuwachanganyia mamboWalimu ni tatizo wanafosi WANAFUNZI kwenda na madaftari hata kama hawana vipindi siku hiyo pia ni waingiliaji wa vipindi akiona mwalimu flani hayupo anataka kufundisha somo lake kwenye kipindi cha mwenzie
Noma sana mwanangu unakuta mtoto wa darasa la nne amebeba mzigo wa madafatri mpaka unajiuliza kabeba daftari za shule nzimaMuhimu sana hili....wasiwazeeshe wanetu wakati bado wanahitaji kukua.
Na hesabu ni kuchagua ni hatari 🤔Enzi zetu tulikua na daftar sita tu sio counter book ni daftar tu sita
1. Maarifa ya jamii
2. Kiswahili
3. English
4. Sayansi
5. Hesabu
6. Stadi za kazi
Kipindi hicho mitihani ilikua migumu Kwel Kwel lakini Sasa hivi watoto wapo kama punda halafu mtihani Wanachagua swali la kwanza hadi mwisho
AI inalemaza akili sana, hasa huko ma vyuoni ni baraaHii AI inakuvyokuja kasi inaenda kuadhiri hadi uwezo wa kufikiria maana mtu kitu kidgo ashauliza AI hatari sana
Mi napatwa na asira sana nikiwaona stand uko walivyo beba mpaka wanainama , kwamba huko mashuleni hawaweki ratiba za masomo ya siku au vipi na hayo madaftari wanayobeba yote wanayatumia yote kwa siku iyo mi nadhani kuna sehemu kuna shida kwa upande wa waalimuInapaswa watoto wabebe daftari za homework ya siku hiyo tu. Madaftari mengine yawe yanabaki shuleni mpaka ikikaribia mitihani. Kikubwa shule iwe na sehemu maalumu ya kutunza madaftari ya watoto.