Nimesoma heading tu, uko sahihi kabisa na hiyo Hali ulishawahi nikuta mm mwenyewe binafsiWadau wote wa Wajamvini habari za muda huu
Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na vitabu vingi. Hali hii hunisikitisha hasa nikifikiria umri wao mdogo na namna wanavyobeba mizigo hiyo kwenye mabega yao.
Nauliza:
1. Kwa kawaida, hawa wanafunzi huwa na vipindi vingapi kwa siku hadi kulazimika kubeba madaftari mengi kiasi hiki?
2. Je, mzigo huu mkubwa wa kila siku hauwezi kusababisha matatizo ya mgongo au athari nyingine za kiafya kwa muda mrefu?
3. Kuna suluhisho lolote ambalo shule, wazazi, au serikali wangeweza kulifanyia kazi ili kupunguza mzigo huu kwa wanafunzi?
Na kama kuna walimu humu Jamvini, naomba mtupatie mwanga kidogo:
Kwa siku huwa mnafudisha vipindi vingapi?
Kuna nini kinachowazuia kuwaruhusu watoto kubeba madaftari ya vipindi vya siku hiyo tu?
Na kama ratiba hubadilika, kwa nini wanafunzi wasipewe taarifa mapema ili wasibebe mzigo mkubwa usio wa lazima?
Ni jambo dogo lakini linaweza kuwa na athari kubwa kwa maisha ya watoto wetu hapo baadae.
Enzi gan acha uongoEnzi zetu, ilikuwa kawaida .. sema gen z na kizazi cha akili mnemba kitaleta tabu sana
Elimu ya zamani na saiv imekua nivitu viwili tofauti kabsa, tukiendelea kwa style hii ya kubeba madaftari kama gunia la viazi watoto wetu watakuja kupata shida ya mgongo sana huko mbeleniIle Elimu ya zamani watu walistukia mnakuwa waelewa sana mnaanza kuhoji sasa hII nayo ninjia yakuwavilingisha siunajua wasokotaji niwajanja
tuliomaliza primary 94 unalinganisha na hawa deka deka ?Enzi gan acha uongo
English medium zilikuja kwajili yakutenganisha matabaka mkajidai wabishi nanyie mnapoleka watoto wenuElimu ya zamani na saiv imekua nivitu viwili tofauti kabsa, tukiendelea kwa style hii ya kubeba madaftari kama gunia la viazi watoto wetu watakuja kupata shida ya mgongo sana huko mbeleni
94 hakukuwa na masomo mengi ya kuchosha mwili kiasi hikituliomaliza primary 94 unalinganisha na hawa deka deka ?
Sio kwa mazingira ya Tanzania hii, hasahasa shule za umma.Inapaswa watoto wabebe daftari za homework ya siku hiyo tu. Madaftari mengine yawe yanabaki shuleni mpaka ikikaribia mitihani. Kikubwa shule iwe na sehemu maalumu ya kutunza madaftari ya watoto.
Hakuna ulicho elewa, matoto ya siku hizi hata yanalima kweli shule ? Au yanalia lia tu.. kubeba madaftari inakuja na michozi humu shensi kabisa94 hakukuwa na masomo mengi ya kuchosha mwili kiasi hiki
Na kingine pia waalimu wazingatia ratiba ya vipindi kwenye ufundishaji sio unakuta leo ni vipindi vinne labda , Historia , kiswahili, Uraia na HisabatiNimesoma heading tu, uko sahihi kabisa na hiyo Hali ulishawahi nikuta mm mwenyewe binafsi
Kuna haja ya wazazi kupata ratiba ya masomo shuleni na kuamua mwanafunzi abebe madaftari yepi kwenda nayo shule Kwa siku husika
Umenikumbusha kitu pia inakuaje shule za private ndo zinafanya vizuri uki,compare na za government hata kimazingira pia private ndo iko vizuri swali. Je private wana,ela kuwazidi Gvmnt au ni vipi 🤔Sio kwa mazingira ya Tanzania hii, hasahasa shule za umma.
Waweke ratiba basiSio kwa mazingira ya Tanzania hii, hasahasa shule za umma.
Shida sana kwakweli na wanavyobeba ivyo sidhani kama wakifika darasani wanaweza kufundishwa kitu na kuelewa watakua wamechoka hoi nikusinzia tu darasani hili jambo ni lakua serious kabsa wizara na yenyewe itilie mkazoWanapata madhara makubwa sana na wengine huwa vilema kabisa.
Dr Gwajima angekuja humu aliongelee hili jambo.
Watoto wanateseka sana
Mbona nchi zingine wanaacha shule? Kasoro homework tu?
Huu ni unyanyasaji na kuwapa ulemavu tu watoto dhaifu
UnyanyasajiUmenikumbusha mbali kweli enzi izo kibegi changu cha sport kilikua na madaftari manne ya kasuku 😂
Saiv ni mwendo counter book 10+
Matatizo kama haya huwa hawayaoni kwa sababu hata waliopo Bungeni hawana HabariShida sana kwakweli na wanavyobeba ivyo sidhani kama wakifika darasani wanaweza kufundishwa kitu na kuelewa watakua wamechoka hoi nikusinzia tu darasani hili jambo ni lakua serious kabsa wizara na yenyewe itilie mkazo
Hili swali nimejiuliza sana!Wadau wote wa Wajamvini habari za muda huu