Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,033
Reaction score
10,622
Isarael any time soon anafanya ground invasion ndani ya Lebanon. Hapo Hezbollah ndo watajua hadithi za 2006 zilikuwa mtego ili wajisahau

Photos: Israel deploys tanks near Lebanon border​

Israeli army tanks
[Menahem Kahana/AFP]

Ila wateule wasiivamie Lebanon Hezbollah ni more organized na discipline terror organisation ukilinganisha na magaidi Hamas. Watapoteza wanajeshi wengi sana. Ila all the best.
 
Serikali ya LEBANONI imekataza wa IRAN kuingia lebanon.....
Guess what is next
Serikali ya Lebanon haihodhi Lebanon yote.
Eneo la kusini mwa Lebanon linahodhiwa na kutawaliwa na Hezbollah, serikali haina mamlaka na eneo hilo.
Huku ndipo Hezbollah wanapotawala na ndipo wanaposhirikiana kwa kupewa msaada na Iran.
Serikali haina mamlaka ya kuwaelekeza Hezbollah nn wafanye nn wasifanye, marufuku ya Wairan kuingia kama kweli ipo basi ni huko eneo linalotawaliwa na Serikali na sio huku kwa Hezbollah
 
Ila tu wasije wakatumia wanawake na watoto kama Ngao zao, maana hakuna kitakachoachwa. Kama kweli wamedhamiria kupigana kiume, wawaweke kando wanawake na watoto. Bomu au kombora halijui nani mwanamke au nani mtoto!
Mimi nimewatakia kheri tu jeshi la Hizbu dhidi ya walowezi wa kizayuni.

We umekuja na maelezo marefu.
 
Serikali ya LEBANONI imekataza wa IRAN kuingia lebanon.....
Guess what is next
Serikali ya Lebanon haijakataza WaIran kuingia Lebanon.
Waziri wa anga wa Lebanon alitoa tamko Iran isipeleke ndege kwasasa Beirut baada ya IDF kudukua communication tower ya kuongoza ndege.
Usiwe unapotosha taarifa.
 
Back
Top Bottom