Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

Acha wauwane
Isarael any time soon anafanya ground invasion ndani ya Lebanon. Hapo Hezbollah ndo watajua hadithi za 2006 zilikuwa mtego ili wajisahau

Photos: Israel deploys tanks near Lebanon border​

Israeli army tanks
[Menahem Kahana/AFP]
Israeli army tanks
[Menahem Kahana/AFP]
Israeli army tanks
[Menahem Kahana/AFP]
Wauwane , wasagane
 
Israel imeisaidia sana Serikali ya Lebanon
lebanon ilikuwa nchi bora sana, na iliyoendelea, mabenki mengi duniani yaliwekeza pale ikawa kama senta ya uchumi middle east, wengi waliita Paris of the middle east, kwasababu hata mfaransa alishawahi kutawala pale hivyo aliwekeza sana pale, lakini huyu mbuzi ilipoingia, ikasaidianana PLO wapalestina kuua wakristo na kuanzisha siasa kali kwasababu tu ya udini, lebanon ikageuka kuwa failed state ambayo none state actor (muasi) ndiye anatawala pamoja na serikali kuu. serikali ya lebanon haikua na uwezo wala say yeyote kwa hezbollah.
 
Isarael any time soon anafanya ground invasion ndani ya Lebanon. Hapo Hezbollah ndo watajua hadithi za 2006 zilikuwa mtego ili wajisahau

Photos: Israel deploys tanks near Lebanon border​

Israeli army tanks
[Menahem Kahana/AFP]
Israeli army tanks
[Menahem Kahana/AFP]
Israeli army tanks
[Menahem Kahana/AFP]
Emwenyezi Mungu ulilinde jeshi tukufu la wana wako Israel asife mtu. Amen
 
Huko Lebanon IDF asifikiri ni Gaza, atarajie surprise za kutosha
Hezbola hawana uungwaji mkono na jamii yote ya Lebanon tofauti na Gaza. Hapa vita ni rahisi kuliko Gaza. Gaza Hamas inaungwa mkono na jamii kubwa so hata uwezo wa kujificha kwenye nyumba za watu ulikua mkubwa. Hawa Hezbola ukiangalia hata viongozi wao walivyouawa unaona kabisa washasalitiwa mapema sana.
 
Serikali ya Lebanon haijakataza WaIran kuingia Lebanon.
Waziri wa anga wa Lebanon alitoa tamko Iran isipeleke ndege kwasasa Beirut baada ya IDF kudukua communication tower ya kuongoza ndege.
Usiwe unapotosha taarifa.
Asante msemaji mkuu wa serikali ya Lebanon,ila wabongo sasa mpo much know sana wa mambo ya nchi za watu,wakati kwenu bado kuna uozo.
 
Hezbollar naona ndiyo kitu walikuwa wanatafuta, IDF aingie kwa miguu Lebanon, wawashikishe adabu kama ule mwaka. Na Gaza wapumue kidogo.
Unajia nini Bantu Lady ? Nimeku reply ili ujue tu kiwa nipo na nakufuatilia comments zako, ila sitakujibu kwa sababu I have a special respect kwako, so nitaendelea kuwakung'uta hawa wengine bila huruma. Ponapona yao labda waiibe ID yako halafu wawe wana comment kwa kutumia hiyo
 
They all make the same mistakes till its too late.
Never treat the current crop of western elites and their vasals with kids gloves...
If they strike you once, strike back 10 times not once.

They only understand the language of brutality and violence, they make the rules, so don't expect them to play by the rules, when it doesn't suit them.

Russia nae akiendelea kucheka na kima basi majibu yake atayapata.
 
Bora hao Hizbollah tena Houthi Israel HAWAWEZI KABBISSA.
USA mwenyewe kawashindwa.
Eti USA kawashindwa, mwaka mzima meli za USA na UK zipo hapo mashariki ya kati na wanashindwa kuzizamisha wanaishia kuzijeruhi tu na Bado zipo, kipigo cha Israel si sawa na hao marekani, Israel ikipiga hadi UN wenyewe wanashangaa
 
Hezbola hawana uungwaji mkono na jamii yote ya Lebanon tofauti na Gaza. Hapa vita ni rahisi kuliko Gaza. Gaza Hamas inaungwa mkono na jamii kubwa so hata uwezo wa kujificha kwenye nyumba za watu ulikua mkubwa. Hawa Hezbola ukiangalia hata viongozi wao walivyouawa unaona kabisa washasalitiwa mapema sana.
Inawezekana, ngoja niangalie uungwaji mkono wao huko Lebanon upo vp
 
Back
Top Bottom