Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

Haya mapigo yote mlengwa mkuu ni Iran anasubiriwa afanye maamuzi ya hasira na mihemko wammalize.

Lakini kama Iran ana akili hana budi kutulia kimya kabisa.

Atulie tuli hata wakimuua Khamenei, ni wakati tu atakapoweza kuunda bomu la nyuklia ndo uonevu wote kwake utaisha.

Tena apambane apate second strike capability ili hata akipigwa decapitation strike aweze kujibu mapigo, hiyo ndo deterrence pekee anayohitaji na ndo itakua salama yake.

Ila atapigwa sana kabla hajafika huko.
 
Back
Top Bottom