Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hali ya vita inazidi kuwa mbaya kwa Israel kiasi kwamba wamelazimika kuondoa vikosi vyake kadhaa kutoka uwanja wa vita.
Sababu kuu inayotajwa ni kuporomoka kwa uchumi wa nchi hiyo kiasi kwamba hakuna tena mafungu ya kuwahudumia askari walio mstari wa mbele.Sababu nyengine isiyowekwa wazi na nchi hiyo ni hasara za kivita na kuporomoka ari ya kupigana ya askari hao.
Hapo juzi jeshi la Israel lilitangaza vifo vya askari 25 ikiwa ni matokeo ya kupigana wenyewe kulikotajwa ni kimakosa.
Upande wa ukingo wa magharibi nako hali ni ya kutisha ambapo wapiganaji wa kipalestina wameongeza nguvu katika kujibu mapigo ya jeshi la Israel..Baada ya mashambulizi yaliyodumu usiku kucha kwenye kambi ya Qalqilya asubuhi kulishuhudiwa maeneo kadhaa yakiwaka moto na huku askari wa IDF wakikimbia na kusindikizwa na warusha mawe.