Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Waambie wasiojua hii vita na ugumu wakeVita ya hao "takbir" ni nzito na inaviapo vya kiimani na mechi huwa ngumu mkiwafata home ground.Hawaofii kufa ila vita itachukua muda na uchumi mkubwa utawaghalimu .USA mwenyew aliamua acha aibu impate kuliko kupambana na wataliban wasiosikia maumivu,uchumi mwingi kauhalibu pamoja na rasilimali watu.mbaya zaidi wanajichanganya na innocent people,ukijichanganya shingo hauna [emoji23][emoji23]. USA makaburi ya makumbusho ya makomandoo kidogo yajae