Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Hili saga la mabinti kuzalia nyumbani kwao limeshakuwa sugu especially kwenye familia za vijijini.Hukk uneza kuta binti amezalia kwao wataoto 3 na Wala hastuki.
 
hali inasikitisha sana,swala la malezi naona ndo tatizo, mzazi ndo anapaswa kumuelimisha mtoto,jukumu la malezi kwa mtoto serikali hai husiki nalo kwani mzazi ndo anakaa na mtoto huyo,mzazi anapaswa kumweleza mtoto kila kitu kuhusu uzazi, zipo sababu nyingi zinazo pelekea swala hilo kutokea, mfano mtoto amezaliwa na singo maza unategemea ye afanyeje?,wazazi kutokuwa wakali wa kukemea maovu kwenye familia,mfano dada mkubwa amezalia nyumbani hakuna onyo lolote lilotolewa kwa ukali kwa hiyo wadogo zake watachukulia kawaida kuzalia nyumban maana watasema mbona flan kazalia nyumbani haja semwa wala kufukuzwa?,kingine mama kuwa na sauti kwenye familia hii ina changia sana kwani kila watakacho fanya watoto ata wakingia kifua.n.b. Babu zetu na bibi zetu walizuia tatizo la watoto wao kuzalia nyumbani kwa kuwa wakali,au mtoto kufukuzwa na kutengwa na familia kwa kuzalilisha ukoo ule ,kwa hiyo na wengine waliogopa kuzalia nyumbani wasitengwe,kufuzwa na kukosa waume.malez ni jukumu lako mzazi sio serikali.
Nikweli
 
Back
Top Bottom