"Mzigua" Au aliyeoa uziguani Afunguke hapa!!!!!

Hapo ndugu umepoteza mada waziguwa hawapo ivyo kama unavyo zani kama ni mtu mwenye huluka yake hata awe nani anafanya hiyo haina kabila
 
Hapo ndugu umepoteza mada waziguwa hawapo ivyo kama unavyo zani kama ni mtu mwenye huluka yake hata awe nani anafanya hiyo haina kabila
Labda lakini nimekulia uziguani. Pengine mtoa mada anataka kuoa mzigua aliyezaliwa na kulelewa mjini.

Pia wadada wa kizigua ni wazuri sana kwa sura lakini chura wengi hawana.

Ukienda uziguani hakikisha una tula au mkaa mfukoni. Mazongo ni mengi sana.

Wazigua ni wakarimu sana, waongeaji na wachangamfu sana.

Kuhusu kufanya kazi kujituma wanajitahidi sana ingawaje makabila ya mkoa wa Tanga, mwanamke akishaolewa wengi wanaamini jukumu la kutafuta maisha ni la mwanaume peke yake.

Wanapenda sana kuongea lugha yao.

Mwisho kabisa, natabua umuhimu wa kujua tabia za asili kwa kabila lakini mtoa mada nikukumbushe kua hauoi wanawake wote au kabila zima la wazigua. Dunia imebadilika na imeharibika usiishi kwa kukalili. Chagua ke unayeona ataweza kuendana na midundo yako. Ufilauni na mahovyohovyo siku hizi yapo kwa makabila yote.
 
Hapo kiongozi nimekuelewa sana
 
Asante mkuu
 
[emoji41] hatari sana
 
Majina ya kizigua ni kama vile; ya kike; Msekwa, Nemhina, Mangaja, Mchiwa, Kauye, Singwa, Chabe, Msindima, Mboni, Nemwingwa, Mamgaza, N.k
 
Tukiishia kusema mazuri tu bila kusema mapungufu tutakuwa hatuja tenda haki!
Kule utakapoenda uwe makini maana kuna mazongo [emoji85][emoji85][emoji85][emoji14]
 
Shemeji (Mlamu) karibu sana!
Huku Mboga Za asili ni kama vile mahombo (mlenda), mchunga, kungujulu , chelue , mnyago n.k
Asante mkuu!![emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…