Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Uko sawa mkuu hawa watu nimekaa nao hovyo kabisa mtu anaota kitambi kwenye nyumba ya Udongo ni wavivu alafu wana wivu na maendeleo ya wengineKijana wa kiume wa kizigua akishaweza kumiliki nyumba ya fito imeezekwa kwa nyasi(biwi), baiskeli, gobole, shoka na panga. Huyo ameshakua na uwezo wa kuoa.
Wazigua wanapenda sana majina ya kike ya, majabu, mwajabu, masefu, zaitun, habiba nk.
Huu sasa ni udhoefu wangu. Demu wa kizigua hata kama umemuoa, akienda kusalimia kwao kijijini, kama alikua na basha wake lazima atapasha kiporo joto.
Uko sawa mkuu hawa watu nimekaa nao hovyo kabisa mtu anaota kitambi kwenye nyumba ya Udongo ni wavivu alafu wana wivu na maendeleo ya wengine
Akilinjema nitajie miiko mitatu ya wazigua
Namaanisha ukitaka kuoa mzigua uzingatie masuala gani...kuna binti nimemuelewa 99.99%[emoji28]Sijakuelewa vizuri , miiko ya kuhusiana
Na nini kwa mfano?
Naomba nielezee kidogo!
Au unamaana kwa mfano Kama kabila lingine akiamua kuoa Mzigua kwama itabidi azingatie mambo gani au?
Acha uongo nimekaa vijiji vya Handen kwa wazigua zaidi ya miaka 2,kwa kifupi wanawake wa kizigua hawajui kukataa mwanaume,so jamaa yupo sahihiHapo ndugu umepoteza mada waziguwa hawapo ivyo kama unavyo zani kama ni mtu mwenye huluka yake hata awe nani anafanya hiyo haina kabila
Nimeishi kule tena vijiji 3 tofauti,kweli ni wacheshi wakarimu ila hapo chini baba hawanyimiDuh.....so ina maana hata kama ni mke wa ntu kuchepuka ni kama kawaida??
Namaanisha ukitaka kuoa mzigua uzingatie masuala gani...kuna binti nimemuelewa 99.99%[emoji28]
Acha uongo nimekaa vijiji vya Handen kwa wazigua zaidi ya miaka 2,kwa kifupi wanawake wa kizigua hawajui kukataa mwanaume,so jamaa yupo sahihi
Miaka ya 90's kulikuwa na kitabu shule ya msingi kwenye darasa la tano kinaelezea kisa cha "Kibanga ampiga mkoloni"Sijaerewa hiyo sifa ya "kibanga kumpiga mkolon ..fafanua.
Nikadhani ni uzi mwingine kwa ajili ya Mzigua 90A. Miiko yao kuhusu wakwe ni ipi?
B. Wanawaheshimu wakwe kwa kiasi gani?
C. Utamaduni wao kuhusu sherehe za harusi au msiba ni upi?
D.majina yao ya asili ni yapi ? Angalau matatu!!!
Nisaidieni wakuu[emoji651] [emoji651]
Niliona sehemu ametajwa na wenzake kwamba muda mwingi wapo onlineSio ...kwan wenyew ukoje
Sasa hiki mbona kizalamo mkuu!?Ooh sina mbuli mnyangu !
[emoji14][emoji14][emoji14]
Mna mie siyo mgosi mnyangu [emoji85][emoji14]
Ni mndelengwa!
[emoji14][emoji14][emoji14]