Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Sasa kuna logic gani kutumia brt kwenye tram ndiyo maana hakuna tram na BRT pamoja hata mm naingelea njia yaani njia ya brt I we na njia ya tram ili kuruhusu mutumika na tram siku za usoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hutaji ni nchi gani ambako trams na BRT zinatumia lane moja?, ninakuhakikishia hakuna nchi yoyote duniani inayochanga trams na BRT ktk barabara moja.
Hivi hujui kwanini trams au train zinabeba watu wengi au mzigo mkubwa kuliko MAGARI?, siri ni uwezo mdogo wa tyres kuhimili mzigo mkubwa na uwezo wa barabara ukilinganisha na chuma cha reli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app