Mzimu wa BRT wazidi kuwatesa Wakenya, viongozi waendelea kutoa ahadi hewa

Sasa kuna logic gani kutumia brt kwenye tram ndiyo maana hakuna tram na BRT pamoja hata mm naingelea njia yaani njia ya brt I we na njia ya tram ili kuruhusu mutumika na tram siku za usoni
Mbona hutaji ni nchi gani ambako trams na BRT zinatumia lane moja?, ninakuhakikishia hakuna nchi yoyote duniani inayochanga trams na BRT ktk barabara moja.

Hivi hujui kwanini trams au train zinabeba watu wengi au mzigo mkubwa kuliko MAGARI?, siri ni uwezo mdogo wa tyres kuhimili mzigo mkubwa na uwezo wa barabara ukilinganisha na chuma cha reli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakuambia kwamba tuwe na njia Mbili mm nimesema tunaweka kujiandaa na tram kwenye ujenzi wa brt tunayo jenga Kwa kuweka njia za tram mbona unakichwa kigumu kama funza ,Na wakati tunatumia brt muda ukifika tunabadili na kuweka tram pia usiseme aiwezekani brt na tram kutumia njia moja Kwa sababu njia ya tram unaweza kutumia na BRT hata na magari ya kawaida Ila njia ya BRT uwezi tumia tram sababu hakuna reli Ila magari ya kawaida yanaweza kutumia njia ya BRT sasa nacho sema mm njia za brt ziwekewe line za tram kabisa ili kuepuka Kubomoa tutakapo taka kujenga tram system

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa ya utawala wa Kikwete kuamua kujenga BRT badala ya trams ni gharama za ujenzi wa reli kuwa kubwa zaidi ya Mara 2 ya gharama za BRT, pili ni "logistics za uendeshaji wa trams kuwa ngumu sana.

Sasa haiwezikani tujenge mifumo yote hiyo miwili kwa wakati mmoja. Hizo nchi unazionyesha hapo, wao wamejenga mfumo mmoja tu wa trams, hawajajenga mfumo wowote wa BRT hapo, hizo ni barabara za kawaida za kutumia MAGARI ya kawaida.

Wewe unashauri tujenge mifumo yote miwili kwa wakati mmoja, hilo haiwezikani ni matumizi mabaya ya Fedha ambazo hatunazo, na hata kama zipo basi ni bora tumgejenga trams rail moja kwa moja bila kupitia BRT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hutaji ni nchi gani ambako trams na BRT zinatumia lane moja?, ninakuhakikishia hakuna nchi yoyote duniani inayochanga trams na BRT ktk barabara moja.

Hivi hujui kwanini trams au train zinabeba watu wengi au mzigo mkubwa kuliko MAGARI?, siri ni uwezo mdogo wa tyres kuhimili mzigo mkubwa na uwezo wa barabara ukilinganisha na chuma cha reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho kamjibu geza ulole maana yeye ndiyo anasema tram haziwezi kubeba watu wengi kuliko mabasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo ni kuonyesha uwezekano tunacho zungumzia hapa ni tram za Umeme zinatija kuliko brt hivyo tuweke mfumo wa tram kabisa ili kuepuka kubomoabomoa barabara zetu Mara Kwa Mara ,tukijenga brt iwe na reli chini ili tuweze kuweka tram siku zijazo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabasi ya umeme pia! Unachomeka socket tu unatumia njia hiihii iliyopo! Ushafikiria hilo? Huhitaji reli!
 
Sababu kubwa ya utawala wa Kikwete kuamua kujenga BRT badala ya trams ni gharama za ujenzi wa reli kuwa kubwa zaidi ya Mara 2 ya gharama za BRT, pili ni "logistics za uendeshaji wa trams kuwa ngumu sana.

Sasa haiwezikani tujenge mifumo yote hiyo miwili kwa wakati mmoja. Hizo nchi unazionyesha hapo, wao wamejenga mfumo mmoja tu wa trams, hawajajenga mfumo wowote wa BRT hapo, hizo ni barabara za kawaida za kutumia MAGARI ya kawaida.

Wewe unashauri tujenge mifumo yote miwili kwa wakati mmoja, hilo haiwezikani ni matumizi mabaya ya Fedha ambazo hatunazo, na hata kama zipo basi ni bora tumgejenga trams rail moja kwa moja bila kupitia BRT.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukuelewa yale ya ku-electrify mtungi wa chang'aa kule Kenya !
 
Sasa niambie wewe unawaamini kina kikwete pitia gharama za sgr ya mafuta walisema sh ngapi na hii ya Umeme tunajenga Kwa sh ngapi ,wewe ujui kipindi cha kikwete wange kuambia gharama za sgr ya Umeme ni $ 18bil ,hiyo usipende kutumia F study za mafisadi

Tatizo basi zina tumia taili usikani wakati tram inafuata njia zake bila kutegemea dereva ,mambo ya dereva kakosea kupinda kona kagonga nguzo hskuna Kwa tram wala mambo ya kubadili taili
Kuna mabasi ya umeme pia! Unachomeka socket tu unatumia njia hiihii iliyopo! Ushafikiria hilo? Huihitaji reli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa niambie wewe unawaamini kina kikwete pitia gharama za sgr ya mafuta walisema sh ngapi na hii ya Umeme tunajenga Kwa sh ngapi ,wewe ujui kipindi cha kikwete wange kuambia gharama za sgr ya Umeme ni $ 18bil ,hiyo usipende kutumia F study za mafisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Kikwete tu, ingia katika google utapata gharama halisi za Trams vs BRT, hiyo ndio sababu trams zipo kwa wingi katika nchi tajiri na BRT zipo kwa wingi katika nchi zinazoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sgr ya Umeme zipo Kwa wingi nchi tajiri ila sisi tunsjenga tena ndefu sana ,au unadhani sgr ya Umeme ni tofauti sana Na tram !? Tumia akili

Nimeuliza elimu yako! Get to know why dedicated Lane is a best solution for mass transport as far as traffic management is concerned. Na kama nilivyokuambia some of DART buses can carry up to 140 PAX while tram (usually two wagons) carries up to 90 PAX! IT'S a matter of Cost n Benefit Analysis i. e. build a dedicated Lane for buses n pay less! If it was tram then had to be a choice from onstart!
Mm simthamini MTU Kwa elimu aliyonayo bali logic aliyonayo .
Logic- njia ya brt unaweza kuitumia kama njia ya mabasi ya kawaida Na magari ya kawaida Ila uwezi kuitumia Kwa tram
Logic - njia ya Tram unaweza kuitumia Kwa vyote ,unaweza ukaondoa tram ukaweka brt bila kujenga upya barabara ila uwezi kuitumia njia ya brt Kwa tram bila kubomoa barabara Na kujenga upya
Hivyo nilicho pendekeza ni kuzingatia line za tram wakati wa ujenzi wa BRT ili kuepuka kubomoabomoa barabara zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sgr ya Umeme zipo Kwa wingi nchi tajiri ila sisi tunsjenga tena ndefu sana ,au unadhani sgr ya Umeme ni tofauti sana Na tram !? Tumia akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Point ni kwamba trams ni ghali zaidi ya BRT, ndio sababu tumeamua kujenga BRT, hatuwezi kujenga vyote kwa pomoja, tumechagua BRT kwasasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm simthamini MTU Kwa elimu aliyonayo bali logic aliyonayo .
Logic- njia ya brt unaweza kuitumia kama njia ya mabasi ya kawaida Na magari ya kawaida Ila uwezi kuitumia Kwa tram
Logic - njia ya Tram unaweza kuitumia Kwa vyote ,unaweza ukaondoa tram ukaweka brt bila kujenga upya barabara ila uwezi kuitumia njia ya brt Kwa tram bila kubomoa barabara Na kujenga upya
Hivyo nilicho pendekeza ni kuzingatia line za tram wakati wa ujenzi wa BRT ili kuepuka kubomoabomoa barabara zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
N u consider ur argument having logic? U simply don't grasp what u r told! Hilo lilitakiwa lifanyike toka phase I. La sivyo tutajikuta kwenye mradi wa BRT Thika Superhighway! Ama twende na tram hizi! Nadhani zitaendana na system iliyopo at minimum modification! Umeelewa mzee thamani ya fedha muhimu! Hata vituo vinafanana na vyetu! Lane strict for tram n DART buses n will be using the same traffic control system yasigongane!

Mm simthamini MTU Kwa elimu aliyonayo bali logic aliyonayo .
Logic- njia ya brt unaweza kuitumia kama njia ya mabasi ya kawaida Na magari ya kawaida Ila uwezi kuitumia Kwa tram
Logic - njia ya Tram unaweza kuitumia Kwa vyote ,unaweza ukaondoa tram ukaweka brt bila kujenga upya barabara ila uwezi kuitumia njia ya brt Kwa tram bila kubomoa barabara Na kujenga upya
Hivyo nilicho pendekeza ni kuzingatia line za tram wakati wa ujenzi wa BRT ili kuepuka kubomoabomoa barabara zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo unapokosea. Njia ya BRT sio barabara ya kawaida, kuna miundombinu inayojitegemea kwa BRT tu. Wewe unazungumzia BRT kama ya Kenya ambayo hawahafanya lolote zaidi ya kuchora barabara?, kumbuka Tanzania imekopa $160M kwa ajili ya miundombinu ya Phase one tu, sasa utasemaje kwamba unaweza changanya BRT na reli?

Halafu anadai kwavile tuna-expect umeme wa JNHPP hataki kuskia mabasi yanaweza pia kutumia umeme! Yeye anataka tram tu!
 
Back
Top Bottom